Lema ana ushirika na shirika la ujasusi la Kenya? George Wajackoya ni jasusi nguli la Kenya, ndilo lilimtorosha Tanzania

Hii nchi ina serikali?
Jibu utakalopata hapo litoshe kukufanya
Ujione kwamba wewe ni mjinga wa kiwango kisichofaa kabisa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga ww kujidai unajua while u don know nothing!! Lema ilibidi akimbie ili kuokoa uhai wake dhidi ya wadhalimu, lkn yeye akabaki wadhalimu wakaaga kwaheri!!
Unamfahamu Ras SImba?
 
Mbona viongozi wengi serikalini walitibiwa India na baadhi walifia huko.
Je kwani walikua na ushirikiano wa kijasusi na India?
Elewatu kwamba kwenye maisha inaweza ikatokea mtu akakubeba sana hasa pale anapohisi unaonewa au kukandamizwa na wala hakukua na maslahi na hana mpango wakutengeneza maslahi ya baadae
 
Mwendazake alikuwa anadhalilisha na kuua watu, as a results watu waliamua kumkimbia nchi kuokoa maisha yao, nani asiyelijua hili
Wewe ukikumbia pia?
 
Sasa huyu mtu ndio maconnection na kina lema. Mbona ni hatari sana.
 
Hakuna chama au taasisi inayojitambua isiyokuwa na kitengo cha mambo ya usalama na ujasusi..

Unadhani CHADEMA ni manunda wasiwe na watu wa namna hiyo?

Wengine wamo humohumo serikalini kimwili lakini nafsi na akili zao ziko CHADEMA..

Kumpiga teke chura ni kumsaidia tu kufika haraka aendako...... Sijui hata kama umenielewa!

Mfano rahisi na wa wazi kabisa ni Dr Wilbroad Slaa. Anarudi kundini baada ya kazi nzuri huko kwenu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…