Lema ana ushirika na shirika la ujasusi la Kenya? George Wajackoya ni jasusi nguli la Kenya, ndilo lilimtorosha Tanzania

Lema ana ushirika na shirika la ujasusi la Kenya? George Wajackoya ni jasusi nguli la Kenya, ndilo lilimtorosha Tanzania

Hacha uboya ww kuua na kuteka watu unadhani ni kazi ndogo?,Viongoz wote wa vyama vya upinzani hakuna aliyeuwawa ata mmoja....Zitto aliwai sema mfuasi wake ametekwa ila humu humu jamii forum tulikuja jua kwamba yeye ndo alimteka na kumficha baada ya kijana kuamua kumdai hela zake zaid ya mln kadhaa,ikagundulika na ikaisha hivyooo,
LISSU alisema alipigwa risasi na watu na anawajua akakimbia nchi na kuishi uamishoni hakuwai wataja zaidi ya kula bata tu mpaka karudi, hakutaja na karejea tena uhamishoni bila kuwataja.
Mbowe alilewa Faru John akaangka kwenye ngazi akavunjika mguu,Akasingiziwa amepigwa cctv zilionyesha ukweli yakaishia hapo.
N.k
So hacheni kupandikiza chuki kwa mzee Kidevu yule jamaa alikuaa mtu na Nusu...haitokaa itokee tupatemtu kama huyuu miaka nenda rudi
Hii nchi ina serikali?
Jibu utakalopata hapo litoshe kukufanya
Ujione kwamba wewe ni mjinga wa kiwango kisichofaa kabisa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga ww kujidai unajua while u don know nothing!! Lema ilibidi akimbie ili kuokoa uhai wake dhidi ya wadhalimu, lkn yeye akabaki wadhalimu wakaaga kwaheri!!
Unamfahamu Ras SImba?
 
Mbona viongozi wengi serikalini walitibiwa India na baadhi walifia huko.
Je kwani walikua na ushirikiano wa kijasusi na India?
Elewatu kwamba kwenye maisha inaweza ikatokea mtu akakubeba sana hasa pale anapohisi unaonewa au kukandamizwa na wala hakukua na maslahi na hana mpango wakutengeneza maslahi ya baadae
 
George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea.

Lema ni agent wa shirika la ujasusi la Kenya? Wana mikataba ipi na shirika hilo? Je, lina mkataba na CHADEMA? CHADEMA kila wanapofanya vurugu wakaumia, kuna taarifa kwamba huwa wanachukuliwa kwa siri kwenda kutibiwa Kenya, Mdude na Mbowe ni wafaidika wa matibabu.

Kunani kati ya hiki chama na intelligence ya Kenya?

Ngoja inyeshe tujue panapovuja.

View attachment 2532262View attachment 2532651
Sasa huyu mtu ndio maconnection na kina lema. Mbona ni hatari sana.
 
Hakuna chama au taasisi inayojitambua isiyokuwa na kitengo cha mambo ya usalama na ujasusi..

Unadhani CHADEMA ni manunda wasiwe na watu wa namna hiyo?

Wengine wamo humohumo serikalini kimwili lakini nafsi na akili zao ziko CHADEMA..

Kumpiga teke chura ni kumsaidia tu kufika haraka aendako...... Sijui hata kama umenielewa!

Mfano rahisi na wa wazi kabisa ni Dr Wilbroad Slaa. Anarudi kundini baada ya kazi nzuri huko kwenu..
 
Back
Top Bottom