pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Alimtorosha asiuawe sio😡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi ina serikali?Hacha uboya ww kuua na kuteka watu unadhani ni kazi ndogo?,Viongoz wote wa vyama vya upinzani hakuna aliyeuwawa ata mmoja....Zitto aliwai sema mfuasi wake ametekwa ila humu humu jamii forum tulikuja jua kwamba yeye ndo alimteka na kumficha baada ya kijana kuamua kumdai hela zake zaid ya mln kadhaa,ikagundulika na ikaisha hivyooo,
LISSU alisema alipigwa risasi na watu na anawajua akakimbia nchi na kuishi uamishoni hakuwai wataja zaidi ya kula bata tu mpaka karudi, hakutaja na karejea tena uhamishoni bila kuwataja.
Mbowe alilewa Faru John akaangka kwenye ngazi akavunjika mguu,Akasingiziwa amepigwa cctv zilionyesha ukweli yakaishia hapo.
N.k
So hacheni kupandikiza chuki kwa mzee Kidevu yule jamaa alikuaa mtu na Nusu...haitokaa itokee tupatemtu kama huyuu miaka nenda rudi
Hisia hizo mkuu.Eti speculations 🤣🤣🤣jinga kbs yaan unajitoa akil kua huelew mlikua mnataka kuwafanya nn LISSU na Lema na wengine waliokua kero kwenu awamu yenu!!
Sasa ulitaka auwawe?ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania
Kama ni hao angeuwawa siku nyingi, Nabii Lema alikuwa auwawe na Wasiojulikana wa Magufuli.Na wale aliowaibia magari?
Wew na mwenzako mmoja humu mshazoea kingereza cha nursery school!! Hamuez elewa hii mambo!Unamfahamu Ras SImba?
Wewe ndiye unatakiwa kwenda kwa huyo RAS SIMBAUnamfahamu Ras SImba?
Wewe ukikumbia pia?Mwendazake alikuwa anadhalilisha na kuua watu, as a results watu waliamua kumkimbia nchi kuokoa maisha yao, nani asiyelijua hili
Sasa huyu mtu ndio maconnection na kina lema. Mbona ni hatari sana.George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea.
Lema ni agent wa shirika la ujasusi la Kenya? Wana mikataba ipi na shirika hilo? Je, lina mkataba na CHADEMA? CHADEMA kila wanapofanya vurugu wakaumia, kuna taarifa kwamba huwa wanachukuliwa kwa siri kwenda kutibiwa Kenya, Mdude na Mbowe ni wafaidika wa matibabu.
Kunani kati ya hiki chama na intelligence ya Kenya?
Ngoja inyeshe tujue panapovuja.
View attachment 2532262View attachment 2532651