Lema ana ushirika na shirika la ujasusi la Kenya? George Wajackoya ni jasusi nguli la Kenya, ndilo lilimtorosha Tanzania

Lema alitumika sana kuvuruga amani ya mji wa Arusha kwa maandamano ya kila mara ili kuharibu image ya nchi na soko la utalii.
 
Daaah kinembe
 
Mbona hata wewe ni jasusi lakini hatukusemi japo mtaani kwetu unajulikana hivyo, kama si mhalifu usimuogope jasusi, jasusi ni sawa na mjusi, haumi.
 
Lema ni agent wa shirika la ujasusi la Kenya?
chiembe kumbe uko so low minded kiasi hiki!?[emoji23] I never expected this from you
 
Mwizi mwenzake wa Magari
 
So,yuko vizuri kuzidi interejinsia yetu yote sio ya kipindi cha jiwe!.

Anyway,ho ngera zake popote alipo,ila mpaka wewe kumjua,basi yamkini ilikuwa kazi ndogo sana
 
Lema alitumika sana kuvuruga amani ya mji wa Arusha kwa maandamano ya kila mara ili kuharibu image ya nchi na soko la utalii.
Kuna wapumbavu hawatakuelewa maana wamekunywa maji ya bendera ya blue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…