Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imepiga pote poteU don know nothing!! That's it
Daaah kinembeGeorge Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea.
Lema ni agent wa shirika la ujasusi la Kenya? Wana mikataba ipi na shirika hilo? Je, lina mkataba na CHADEMA? CHADEMA kila wanapofanya vurugu wakaumia, kuna taarifa kwamba huwa wanachukuliwa kwa siri kwenda kutibiwa Kenya, Mdude na Mbowe ni wafaidika wa matibabu.
Kunani kati ya hiki chama na intelligence ya Kenya?
Ngoja inyeshe tujue panapovuja.
View attachment 2532262View attachment 2532651
Mbona hata wewe ni jasusi lakini hatukusemi japo mtaani kwetu unajulikana hivyo, kama si mhalifu usimuogope jasusi, jasusi ni sawa na mjusi, haumi.George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea.
Lema ni agent wa shirika la ujasusi la Kenya? Wana mikataba ipi na shirika hilo? Je, lina mkataba na CHADEMA? CHADEMA kila wanapofanya vurugu wakaumia, kuna taarifa kwamba huwa wanachukuliwa kwa siri kwenda kutibiwa Kenya, Mdude na Mbowe ni wafaidika wa matibabu.
Kunani kati ya hiki chama na intelligence ya Kenya?
Ngoja inyeshe tujue panapovuja.
View attachment 2532262View attachment 2532651
Lema ni agent wa shirika la ujasusi la Kenya?George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea.
Lema ni agent wa shirika la ujasusi la Kenya? Wana mikataba ipi na shirika hilo? Je, lina mkataba na CHADEMA? CHADEMA kila wanapofanya vurugu wakaumia, kuna taarifa kwamba huwa wanachukuliwa kwa siri kwenda kutibiwa Kenya, Mdude na Mbowe ni wafaidika wa matibabu.
Kunani kati ya hiki chama na intelligence ya Kenya?
Ngoja inyeshe tujue panapovuja.
View attachment 2532262View attachment 2532651
Una ukosefu mkubwa wa maarifa kuhusu hao unaowaita ma agentKwani agents huwa wanakuwa na rangi maalum?
Mwizi mwenzake wa MagariGeorge Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea.
Lema ni agent wa shirika la ujasusi la Kenya? Wana mikataba ipi na shirika hilo? Je, lina mkataba na CHADEMA? CHADEMA kila wanapofanya vurugu wakaumia, kuna taarifa kwamba huwa wanachukuliwa kwa siri kwenda kutibiwa Kenya, Mdude na Mbowe ni wafaidika wa matibabu.
Kunani kati ya hiki chama na intelligence ya Kenya?
Ngoja inyeshe tujue panapovuja.
View attachment 2532262View attachment 2532651
Mwenzenu alikuwa anakimbia madeni mbona akina sugu hawakukimbia na wapo hai?Hongera jasusi George kwa kaz kubwa uliyofanya ya kuokoa uhai wa kijana lema dhidi ya wadhalimu!!
Pole san mzee wa legacy, hiyo concept yenu hainaga mashiko!!Mwenzenu alikuwa anakimbia madeni mbona akina sugu hawakukimbia na wapo hai?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tumuite Yericko NyerereYerriko Nyerere anasemaje.....
Kuna wapumbavu hawatakuelewa maana wamekunywa maji ya bendera ya blueLema alitumika sana kuvuruga amani ya mji wa Arusha kwa maandamano ya kila mara ili kuharibu image ya nchi na soko la utalii.