Hilo halina ubishi na naamini kabisa hata viongozi wakuu wa ccm wanajua fika kuwa wabunge wa ccm wapo pale kupokea posho tuUnajua ukifuatilia hoja za lema na wapinzani wengine bungeni utagundua wanahoja za msingi san! Sa mi najiuliza kuna vidampa wanampiga vita lema mno. Hebu sikiliza tu hoja yake hapo juu ndipo utaamin wabunge wa CCM ndio tatizo pale bungeni!!
Fafanua vizuri ili watu wakuelewe ndugu wacha papalaHuyu enzi zake alimtukana sana jk na kudai eti ni raisi wa awamu moja na lowasa alivyojiunga na chadema akasema ccm inakufa mikononi mwa jk, kilichotokea wao wakahama hadi nchi na jk ndio huyu hapa jadi leo kuwa smart sio lazima ubwabwaje sana
😁😁😁😁Limetokea from nowhere jimama la hovyo linauza kila kitu likidhani lenyewe ni liarabu. Lisemwalo lipo na limefika
Wamekosa vision wamebakia matusi tu hawana hoja zenye tija kwa wananchiTuseme tu ukwel wapinzani ni watu waliopikwa wakaiva haswaaaaa..
Hizo alizokua anaongea Lema ni pumba si ndio?? Haya.Wamekosa vision wamebakia matusi tu hawana hoja zenye tija kwa wananchi
Mtu siku zote anayechimba kaburi hawaingii wenzake anaingia yeye na familia yakeLimetokea from nowhere jimama la hovyo linauza kila kitu likidhani lenyewe ni liarabu. Lisemwalo lipo na limefika
Kweli alikuwa Mwana wa Mungu........ni maneno ya Myahudi mmoja hivi.Wakati anafanya shughuli zake bungeni huwa anaongea mengi sana.
Kati ya anayo yaongea mara nyingi huwa yanageuka kuwa ya kweli na kuonekana na kila mtanzania.
Haya ya kuuzwa au kumilikishwa kwa rasilimali za taifa iwe pale Ngorongoro na bandari zetu kumbe tayari mh Lema alisha yazungumza pale bungeni.
Ili taifa letu lisiwe linaingia kwenye misukuko suko kama ya bandari na Ngorongoro basi nashauri wampatie nafasi mh Lema awe ndiye mtabiri mkuu wa mambo ya kisiasa.
Naomba kila Mtanzania amsikilize mh Lema kwenye hii video fupi ataelewa nini namaanisha.
View attachment 2748698
Atutabirie tena maana tumechoka sasaNabii Lema