Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akiwa nje ya nchi,hoja yake bado ipo valid hadi sasaLema mwenyewe yupo kweli nchini!
Acha ushabiki maandazi ipime hoja ya lema akizungumza hapo bungeni vinginevyo we utakuwa na shida kubwa hata hapo manispaaKwa upinzani huu wasipobadilika ccm atatawala milele vyama vyenyewe vingi vimekuwa kama saccos ya mtu havina sura ya umiliki wa wanachama, sasa mtu na akili zako ukabidhi nchi kwa watu kama hao si mara elfu ccm tu
WaKkristo Rc mna chuki sanaa,kkenge weweLimetokea from nowhere jimama la hovyo linauza kila kitu likidhani lenyewe ni liarabu. Lisemwalo lipo na limefika
Utafiti ulifanyika kwa wananchama wa ccm ndio wenye umasikini uliopitiliza na walio na kipato wanalazimika kubakia ccm ili kujificha madhambi yaoKwa upinzani huu wasipobadilika ccm atatawala milele vyama vyenyewe vingi vimekuwa kama saccos ya mtu havina sura ya umiliki wa wanachama, sasa mtu na akili zako ukabidhi nchi kwa watu kama hao si mara elfu ccm tu
Kwa hiyo hakuliona hili au yeye anatabiri siasa tu 😄 🤣 mpaka kuihama nchiHuyu enzi zake alimtukana sana jk na kudai eti ni raisi wa awamu moja na lowasa alivyojiunga na chadema akasema ccm inakufa mikononi mwa jk, kilichotokea wao wakahama hadi nchi na jk ndio huyu hapa jadi leo kuwa smart sio lazima ubwabwaje sana
Wakati anafanya shughuli zake bungeni huwa anaongea mengi sana.
Kati ya anayo yaongea mara nyingi huwa yanageuka kuwa ya kweli na kuonekana na kila mtanzania.
Haya ya kuuzwa au kumilikishwa kwa rasilimali za taifa iwe pale Ngorongoro na bandari zetu kumbe tayari mh Lema alisha yazungumza pale bungeni.
Ili taifa letu lisiwe linaingia kwenye misukuko suko kama ya bandari na Ngorongoro basi nashauri wampatie nafasi mh Lema awe ndiye mtabiri mkuu wa mambo ya kisiasa.
Naomba kila Mtanzania amsikilize mh Lema kwenye hii video fupi ataelewa nini namaanisha.
View attachment 2748698
Mmawia umemsoma huyu mgalatia wa tec alivyoandika hapo?nyie mna chuki sana na rais akiwa muislam ,lkkenge nyieLimetokea from nowhere jimama la hovyo linauza kila kitu likidhani lenyewe ni liarabu. Lisemwalo lipo na limefika