Lema apewe heshima ya kuwa mtabiri wa taifa kisiasa

Lema apewe heshima ya kuwa mtabiri wa taifa kisiasa

Daima ukweli hudumu dhidi ya uongo. Dhamiri za kweli huona yote yanayokuja.
 
Kwa upinzani huu wasipobadilika ccm atatawala milele vyama vyenyewe vingi vimekuwa kama saccos ya mtu havina sura ya umiliki wa wanachama, sasa mtu na akili zako ukabidhi nchi kwa watu kama hao si mara elfu ccm tu
Acha ushabiki maandazi ipime hoja ya lema akizungumza hapo bungeni vinginevyo we utakuwa na shida kubwa hata hapo manispaa
 
Acha ushabiki maandazi ipime hoja ya lema akizungumza hapo bungeni vinginevyo we utakuwa na shida kubwa hata hapo manispaa
Bila watu wenye ubongo kama wa huyu ndugu ccm ingeshaondoshwa madarakani kitambo
 
Kwa upinzani huu wasipobadilika ccm atatawala milele vyama vyenyewe vingi vimekuwa kama saccos ya mtu havina sura ya umiliki wa wanachama, sasa mtu na akili zako ukabidhi nchi kwa watu kama hao si mara elfu ccm tu
Utafiti ulifanyika kwa wananchama wa ccm ndio wenye umasikini uliopitiliza na walio na kipato wanalazimika kubakia ccm ili kujificha madhambi yao
 
Huyu enzi zake alimtukana sana jk na kudai eti ni raisi wa awamu moja na lowasa alivyojiunga na chadema akasema ccm inakufa mikononi mwa jk, kilichotokea wao wakahama hadi nchi na jk ndio huyu hapa jadi leo kuwa smart sio lazima ubwabwaje sana
Kwa hiyo hakuliona hili au yeye anatabiri siasa tu 😄 🤣 mpaka kuihama nchi
 
Wakati anafanya shughuli zake bungeni huwa anaongea mengi sana.

Kati ya anayo yaongea mara nyingi huwa yanageuka kuwa ya kweli na kuonekana na kila mtanzania.

Haya ya kuuzwa au kumilikishwa kwa rasilimali za taifa iwe pale Ngorongoro na bandari zetu kumbe tayari mh Lema alisha yazungumza pale bungeni.

Ili taifa letu lisiwe linaingia kwenye misukuko suko kama ya bandari na Ngorongoro basi nashauri wampatie nafasi mh Lema awe ndiye mtabiri mkuu wa mambo ya kisiasa.

Naomba kila Mtanzania amsikilize mh Lema kwenye hii video fupi ataelewa nini namaanisha.

View attachment 2748698

Alimaliza kila kitu👏👏👏👏 tumeyashuhudia na yametokea mbele ya macho yetu tukiona
 
Back
Top Bottom