Lema apewe heshima ya kuwa mtabiri wa taifa kisiasa

Lakini kweli walielewa?
 
Huyu enzi zake alimtukana sana jk na kudai eti ni raisi wa awamu moja na lowasa alivyojiunga na chadema akasema ccm inakufa mikononi mwa jk, kilichotokea wao wakahama hadi nchi na jk ndio huyu hapa jadi leo kuwa smart sio lazima ubwabwaje sana
Unayaonaje hayo aliyoyazungumza hapo!

Ana hoja au hana hoja?
 
Sio swala la utabiri ni swala la ukweli tuu kwamba Sheria za Nchi zinamfanya Rais kuwa Mungu mtu.

Huyo huyo mtabiri aliyefanya assumption ya Mwendazake kuwa Malaika ndio huyo aliwafanya wakakimbia Nchi.
 
Nabii asiyejitangaza
 
Nabii mwingine ni NDUGAI!! yeye alisema bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno " nchi inaweza kupigwa mnada". Kwa sasa yuko k,imyaa maana alishasema tayari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…