Joni acha ukorofi Lema harakati nyingi tulizifanya Tanga mda tukiwa na mwana JF mwezetu .....marehemu,so anaijua TangaHata Wewe ukienda mbinguni kwa muda utayasahau Yote ya Dunia hii pindi utakaporejea!
Niliuona mjengo wa Mengi pale Machame hatari na Nusu!Kuna wakati mnamuongelea kama kajitu flani kalichotokea kwenye umaskini totoro na kakaibukia ughaibuni ns kuwa na nyodoπ€£π€£π€£
Lema ni mmchame wa pale Machame, wamachame wako juu na sio haba kivile.
Ukweli mchaga wa Machame akienda mikos mingine hasa vijijini huwa wanashangaa makazi mabovu na umasikini totoro
Ila anayoongea yana ukweliLema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
KiingelezaKwani Canada aliishi miaka mingapi Hadi aende Tanga ashangae na kulia??
Hajashangaa bado watu hawajui Kingereza?
Umasikini sio sifawaafrika hali ya umasikini tumeshaizoea, na ni ngumu kuacha kitu kilichoiathiri psychologia yako.
Hivi na mm siku nikienda kanada na kurudiii nitakuja na ulimbukeni namna hiii??Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema ambaye wengine hupendelea kumwita Nabii ametua jijini Tanga na kushikwa na mshangao mkuu
Lema amesema haamini macho yake kushuhudia Watu wanaishi kwenye Magofu yaliyojengwa na waarabu nyakati za utumwa
Lema amewataka wakazi wa Tanga kuukimbia umasikini kwa kujikomboa Kifikra kwanza kisha wakumbatie Kilimo cha kisasa
Mh Lema yuko kwenye ziara ya Mikutano ya nchi nzima akiwa na Viongozi mbalimbali wa Chadema
Mungu ni Mwema wakati Wote!
Sema "wewe unavyoishi"TunΓ vyoishi Ni zaidi ya wadudu.
Wamachame waacheni kabisa.Niliuona mjengo wa Mengi pale Machame hatari na Nusu!
Miaka hata miwili hana a bila kibaliKwani Canada aliishi miaka mingapi Hadi aende Tanga ashangae na kulia??
Hajashangaa bado watu hawajui Kingereza?
Ndio sababu analia kwanini hambadiliki?Joni acha ukorofi Lema harakati nyingi tulizifanya Tanga mda tukiwa na mwana JF mwezetu .....marehemu,so anaijua Tanga
Asweke ndani kwa kuongea ukweli?Sijajua huyu jamaa anafanya kampeni au ametumwa! Dah hii nchi ngumu sana.
Anapoelekea sio, soon watamsweka ndani halafu muanze oh huyu mama hafai.
π€©π€©π€©"Ashangaa na kulia"
ππ
Kwani bwagamoyo hayapo?Ndio sababu analia kwanini hambadiliki?
Kila mkoa ulikuwa na Magofu lakini huyakuti leo isipokuwa hapo kwa wagosi wa kaya!
Si mbaki kwenu shobo za nn? Tulieni mkoani kwenu kutetea tu ...Mengi kafa iyo mijengo kazikwa nayo ?Wamachame waacheni kabisa.
Wameficha mijengo ya hadhi ya Masaki huko migombani kwao.
Kuna akina Lema wa ksmpuni ya Eletai/Joshmal hotel...acheni kabisa.
Fika machamr Mronga uone vitu
Bagamoyo hawaishi Watu ni Urithi wa TaifaKwani bwagamoyo hayapo?
Acha makasiriko bwashee mimi sio mchagaππππSi mbaki kwenu shobo za nn? Tulieni mkoani kwenu kutetea tu ...Mengi kafa iyo mijengo kazikwa nayo ?
Ushamba mzigo tulieni kwenu hatuwataki
We mshamba wa wapi magofu mengi ni uirth na sehemu za kihistoria mjini unakuwa kange , unataka watu wajazane pale mjini nenda kaangalie masiwani .Ndio sababu analia kwanini hambadiliki?
Kila mkoa ulikuwa na Magofu lakini huyakuti leo isipokuwa hapo kwa wagosi wa kaya!