Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

Kuna wakati mnamuongelea kama kajitu flani kalichotokea kwenye umaskini totoro na kakaibukia ughaibuni ns kuwa na nyodo🤣🤣🤣

Lema ni mmchame wa pale Machame, wamachame wako juu na sio haba kivile.
Ukweli mchaga wa Machame akienda mikos mingine hasa vijijini huwa wanashangaa makazi mabovu na umasikini totoro
Niliuona mjengo wa Mengi pale Machame hatari na Nusu!
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema ambaye wengine hupendelea kumwita Nabii ametua jijini Tanga na kushikwa na mshangao mkuu

Lema amesema haamini macho yake kushuhudia Watu wanaishi kwenye Magofu yaliyojengwa na waarabu nyakati za utumwa

Lema amewataka wakazi wa Tanga kuukimbia umasikini kwa kujikomboa Kifikra kwanza kisha wakumbatie Kilimo cha kisasa

Mh Lema yuko kwenye ziara ya Mikutano ya nchi nzima akiwa na Viongozi mbalimbali wa Chadema

Mungu ni Mwema wakati Wote!
Hivi na mm siku nikienda kanada na kurudiii nitakuja na ulimbukeni namna hiii??
 
Wamachame waacheni kabisa.
Wameficha mijengo ya hadhi ya Masaki huko migombani kwao.
Kuna akina Lema wa ksmpuni ya Eletai/Joshmal hotel...acheni kabisa.

Fika machamr Mronga uone vitu
Si mbaki kwenu shobo za nn? Tulieni mkoani kwenu kutetea tu ...Mengi kafa iyo mijengo kazikwa nayo ?

Ushamba mzigo tulieni kwenu hatuwataki
 
Ndio sababu analia kwanini hambadiliki?

Kila mkoa ulikuwa na Magofu lakini huyakuti leo isipokuwa hapo kwa wagosi wa kaya!
We mshamba wa wapi magofu mengi ni uirth na sehemu za kihistoria mjini unakuwa kange , unataka watu wajazane pale mjini nenda kaangalie masiwani .

Pale Moshi hamna magofu na manyumba ya zamani.

Jitu lenyewe linaongea ivyo limekunywa mapombe yaani uchafu mtu ..jaribu hata kuwa msafi wa mwili basi sio jilevi linaropoka
 
Back
Top Bottom