saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Aache ushamba wa kichaga, baada ya kukaa Canada amekuwa km kichaa. Wenzake wamezaliwa Marekani hawashangai hayo anayoyashangaa. Maskini akipata kidogo matako hulia...Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema ambaye wengine hupendelea kumwita Nabii ametua jijini Tanga na kushikwa na mshangao mkuu
Lema amesema haamini macho yake kushuhudia Watu wanaishi kwenye Magofu yaliyojengwa na waarabu nyakati za utumwa
Lema amewataka wakazi wa Tanga kuukimbia umasikini kwa kujikomboa Kifikra kwanza kisha wakumbatie Kilimo cha kisasa
Mh Lema yuko kwenye ziara ya Mikutano ya nchi nzima akiwa na Viongozi mbalimbali wa Chadema
Mungu ni Mwema wakati Wote!