nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Godbless Lema. Ambaye kimsingi ameonyesha uoga na kukimbia nchi yake kuogopa makabiriano ya kisiasa ameibuka na kuwananga watu walionunua IST na VITZ huku wamenyamaza na wameshindwa KUANDAMANA kushinikiza Mbowe kuachiwa.
Yeye kama alinunuliwa v8 na kodi zetu atulie. Sababu kabla ya ubunge alikuwa just dereva wa daladala. Siasa ni kuwashawishi watu na sio kuwananga.
Kama watu hawaoni mantiki katika hoja zao basi wataendelea kuvaa bukta nyeupe na kula muziki katika IST na VITZ zao. Wao wapambane na hali zao katika V8!