Lema awananga wanaodhani kuyapatia maisha na kukalia kimya kukamatwa kwa Mbowe

Lema awananga wanaodhani kuyapatia maisha na kukalia kimya kukamatwa kwa Mbowe

Godbless Lema. Ambaye kimsingi ameonyesha uoga na kukimbia nchi yake kuogopa makabiriano ya kisiasa ameibuka na kuwananga watu walionunua IST na VITZ huku wamenyamaza na wameshindwa KUANDAMANA kushinikiza Mbowe kuachiwa.

Yeye kama alinunuliwa v8 na kodi zetu atulie. Sababu kabla ya ubunge alikuwa just dereva wa daladala. Siasa ni kuwashawishi watu na sio kuwananga.

Kama watu hawaoni mantiki katika hoja zao basi wataendelea kuvaa bukta nyeupe na kula muziki katika IST na VITZ zao. Wao wapambane na hali zao katika V8!

View attachment 1865880

Kwa hiyo wenye IST na kaptura nyeupe tunatakiwa kufanya nini!!??
 
Utopolo, Ugaidi, Ujinga au werevu wa mtu haupimwi wa kusababishwa na kabila

Kataa kuchochea chuki za kikabila au kidini kwenye habari zihusuzo jamii
Kabila lake pia litakuwa linachangia mbona unawahi kupinga.
Yeye yupo nje anataka watu wakapigane na risasi so wakiumia wakifa walioachwa tegemezi atawasaidiaje. Akina akwilina aliffariki walimsaidiaje wazazi wao.
Hata vile viti maalumu wangepewa wao Kama kifuta machozi
 
Hapo unamzungumzia lema na kabila lake

Tundu nae anaeyewaambia watu waandamane wakati yuko ubelgiji kabila lake ndio limemtuma?

Na wewe kabila lako ndio limekutuma kuja kuchochea ukabila hapa jf?
 
Godbless Lema nafikiri ana tatizo. Jana nilimsikia akiwananga Watanzania wanaoishi nje nikasikitika sana. Alitumia kauli mbaya aliposema hata wawe na maisha mazuri vipi wao ni "sawa na wanyama tu."

Nilikuwa namsupport sana lakini baada ya kuisikia kauli yake hiyo, simsupport tena. Huwezi kumfananisha binadamu mwenzio na "mnyama" kwa sababu tu ameamua kuishi ughaibuni. You don't know the half of it.

Tabia ya baadhi ya wanasiasa ya kuwasimanga wale walio katika diaspora si nzuri, na binafsi nafikiri huzionyesha hulka halisi za wanasiasa hao zilivyo, e.g. ujeuri, bullying, n.k.

Pia, kauli kama hizo hazifai kwa mwanasiasa anayetaka kujenga ushawishi, kwani huakisi majivuno, ukosefu wa ueledi, na ukosefu wa hekima ya kiuongozi.
 
Amekosa ushawishi,kaanza mipasho!!

Hakuna wa kuwa ngazi ya mtu Sasa hivi,kila mtu na tumbo lake

Aje frontline na familia yake kama alivyokuwa akifanya Slaa.
mke dk slaa.JPG
 
Godbless Lema nafikiri ana tatizo. Jana nilimsikia akiwananga Watanzania wanaoishi nje nikasikitika sana. Alitumia kauli mbaya aliposema hata wawe na maisha mazuri vipi wao ni "sawa na wanyama tu."

Nilikuwa namsupport sana lakini baada ya kuisikia kauli yake hiyo, simsupport tena. Huwezi kumfananisha binadamu mwenzio na "mnyama" kwa sababu tu ameamua kuishi ughaibuni. You don't know the half of it.

Tabia ya baadhi ya wanasiasa ya kuwasimanga wale walio katika diaspora si nzuri, na binafsi nafikiri huzionyesha hulka halisi za wanasiasa hao zilivyo, e.g. ujeuri, bullying, n.k.

Pia, kauli kama hizo hazifai kwa mwanasiasa anayetaka kujenga ushawishi, kwani huakisi majivuno, ukosefu wa ueledi, na ukosefu wa hekima ya kiuongozi.
Yeye anaumia wakivaa bukta wakiwa kwenye Ist na vitz zao. Kwani yeye aliyepatia maisha amefanya Nini. Yani bana alisema kuwa Yuko tayari kuhesabiwa Ila wa kwanza kusepa. Anadhani kwa akili zake Kuna mtu atamteka kwa maneno yake labda awe mwanae na mkewe.
Hakuna mtanzania mjinga wa kumfuata hata kidogo. Yeye anajiona eti kuwa kisa akaupitia ubunge anaona kuwa anacho Cha kutupangia.
Who is this shit by the way
 
Back
Top Bottom