nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Kila mtu apambane na hali yake. Wanapokulaga mamilioni ya kodi zetu huwa hawatukaribishi.Ana dharau sana. Unataka msaada wa mtu huku ukimsimanga aiseee
Stress zitawaua. Kila mtu apambane kuboresha familia yake.Huyu naye nafuu yake akae hukohuko maana alikimbia madeni ya mabenki akasingizia sababu za kisiasa.
Yaani kadri wanavyofurahia maruzuku na pesa za wazungu wakubaliane na hali zao tu. Hakuna namnaAkae ukimbizini huko.
Huku nyumbani kuko sawa tu.
Watanzania hawataki SIASA ZA KUVUTANA NA WATAWALA kufikia kuingiana "maungoni" na kuvunjana miguu.
Yaani Frank wa uswazi aandamane kisa Mbowe AMEINGIZWA NDANI?
Juzijuzi tu VIJANA 370 WA KIMASKINI kule SAUZI AFRIKA waliuawa katika MACHAFUKO kwa kupinga Mh.Zuma kutiwa RUMANDE 🤣🤣
#KaziIendelee
Huyo jamaa ndivyo alivyo....Ana dharau sana. Unataka msaada wa mtu huku ukimsimanga aiseee
.....ndio GHARAMA hiyo.....Yaani kadri wanavyofurahia maruzuku na pesa za wazungu wakubaliane na hali zao tu. Hakuna namna
Huyu kenge Lema si ndiyo yule anaelishwa ,kula,kulala na kusomeshewa watoto bure ?kama ni yule aliekuwa mbunge wa Arusha mjini ,hiyu hafai kabisa ,ni wa kuchapwa viboko kama wahuni wengin ambao ni watu wazima kama yeye .Godbless Lema. Ambaye kimsingi ameonyesha uoga na kukimbia nchi yake kuogopa makabiriano ya kisiasa ameibuka na kuwananga watu walionunua IST na VITZ huku wamenyamaza na wameshindwa KUANDAMANA kushinikiza Mbowe kuachiwa.
Yeye kama alinunuliwa v8 na kodi zetu atulie. Sababu kabla ya ubunge alikuwa just dereva wa daladala. Siasa ni kuwashawishi watu na sio kuwananga.
LKama watu hawaoni mantiki katika hoja zao basi wataendelea kuvaa bukta nyeupe na kula muziki katika IST na VITZ zao. Wao wapambane na hali zao katika V8!
View attachment 1865880
Hivi Lema huwaga ni kabila Gani?Godbless Lema. Ambaye kimsingi ameonyesha uoga na kukimbia nchi yake kuogopa makabiriano ya kisiasa ameibuka na kuwananga watu walionunua IST na VITZ huku wamenyamaza na wameshindwa KUANDAMANA kushinikiza Mbowe kuachiwa.
Yeye kama alinunuliwa v8 na kodi zetu atulie. Sababu kabla ya ubunge alikuwa just dereva wa daladala. Siasa ni kuwashawishi watu na sio kuwananga.
Kama watu hawaoni mantiki katika hoja zao basi wataendelea kuvaa bukta nyeupe na kula muziki katika IST na VITZ zao. Wao wapambane na hali zao katika V8!
View attachment 1865880
Ni binamu yake MboweHivi Lema huwaga ni kabila Gani?