Lema awe katibu CHADEMA? Mnachekesha sana

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi?

Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake.

Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
 
Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi? Siri zote za chama angalizipost ktk social media kuwakomoa wapinzani wake.
Eti lissu akishinda lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?

Lema Katibu Mwenezi.
Katibu mkuu John Mnyika anatosha
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi?

Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake.

Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
Vipi tena, maleria imepanda kichwani nini?
 
Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi?

Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake.

Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
Watoto wa Mugabe tulieni dawa iingie, na kesho saa 5 tunamwaga mboga zote haha
 
Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi?

Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake.

Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
Kijakazi Yunus mbona unahangaika sana na Chadema huko kwenu hakuna habari
 
Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi?

Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake.

Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
Tuliza kishundu hicho uzae salama dada Mariam
 
Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi?

Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake.

Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
Basi awe karibu sisiemu
 
Wa kueneza chuki, uongo na fitna?
Hizi ni kampeni broo.
Hata CCM wakati wa kampeni Samia alisema sisi tukitaka kumpiga mtu risasi hatumkosi .Lakini baada ya uchaguzi akasema yeye hawezi kuua hata sisilizi.

Lema ana hekima sana . Hekima iko juu ya busara. Hata wachawi na walevi wana busara.Ila hekima ni uwezo wa kukataa ubaya na kumcha mwenyezi Mungu.

Lakin pia vita kati ya wema na ubaya ni ya kiMungu na ya asili.

Angalia huko Amerika waliungana waovu na wema wanafurahia maisha katikati ya maovu . Wote leo hawana makazi kwa sababu ya cheche moja ya moto usiojulikana chanzo chake.

Tukiwanyamazisha wanaopinga dhulma ipo siku tutalia kilio kinacholingana . Haki huinua taifa .
 
Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi?

Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake.

Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
Kwani Mama Samia na Lema nani ana uwezo wa kutawala nchi vizuri?
 
We mujahedeen mbona akili yako haijatulia? Unasumbuliwa na nini kwani? Au kwa sababu Dr Slaa aliyetia mkataba wa kanisa na serikali anawapigia debe akina Lema ndio maana unawachukia?
 
Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi?

Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake.

Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
Vp Dodoma kunaendeleaje? Maana sioni sisikii chochote mitandaoni😂
 
Back
Top Bottom