PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Godbless Lema ameonya kuwa “endapo vitendo vya upumbavu havitazuiwa, nchi inaweza kuingia katika mgogoro mkubwa wa uhasama wa kidini.”
Kwa mujibu wa Lema, haiwezekani kuficha uovu kwa kujificha nyuma ya dini, akisisitiza kuwa CCM kutumia dini kutetea makosa ni njia isiyo sahihi na inaweza kuleta madhara makubwa kwa taifa.
Aidha, Lema amesema kuwa “ni mtu mpumbavu tu ndiye anaweza kushindwa kujua kinachoendelea.”