PostGE2025 Lema: CCM kutumia dini kutetea makosa yenu si sahihi, nchi inaweza kuingia katika mgogoro mkubwa wa kidini

PostGE2025 Lema: CCM kutumia dini kutetea makosa yenu si sahihi, nchi inaweza kuingia katika mgogoro mkubwa wa kidini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mimi ni Muislam naipinga kwa nguvu zote BAKWATA.. Bakwata wanatumwa, Watanganyika tunawahitaji wote waliotekwa wakiwa hai au maiti, Hapakua na uchaguzi huru na haki(viongozi wote Raisi,wabunge na madiwani ni HARAMU) Watanganyika zaidi ya 30,0000 wameuwawa , wauaji wakamatwe haraka na wawajibishwe, KATIBA mpya, Serikali ya mpito .TOFAUTI HAPO NCHI ITATETEMA KWA VISHINDO..
 
Una uhakika sana,ina maana wewe ulikua kampeni meneja wa huyo mgombea wa upinzani,tuwekee karatasi za matokeo zilizosainiwa na mawakala tujiridhishe, tofauti na hapo ni uzushi tu, halafu mlisema hakuna aloenda kupiga kura,hii vipi tena!?
Hebu nikuambie kitu kimoja binti sipo kwenye ushabiki wa siasa ila mimi ni muumini wa amani na hauwezi kuwa muumini wa amani bila kuwa mtenda haji....wewe ni mkristo?
 
TEC wanapaswa kulaani vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi siyo kuyaita maandamano, sababu hayakua maandamano
TEC kukemea mamlaka tu kutumia nguvu kubwa ni unafiki na ni kiashiria kuwa wanaunga mkono kilichofanywa na wafanya vurugu na huenda wako nyuma Yao
Wakati bakwata wanawasihi waislam kutunza amani,kujiepusha na vurugu, TEC walikua wakitoa matamko ya kuchochea
Ukijiuliza nini kinaisukuma TEC kuwa hivyo huoni zaidi ya dini ya rais aliye madarakani
So kemeeni TEC kwa udini,na ni kweli waislam wengi sana wanaona hakuna la maana zaidi ya udini
Wewe matako wa CCM, kwa akili yako chafu umedanganywa na Samia kitambi kuwa TEC ndiyo waliua wananchi wasio na makosa kwa bunduki za Abdul? Wakati mwingine jaribu kufikiria kwa kutumia akili, usitumie makalio yako kufikiri kama huyo mama yako.
 
Back
Top Bottom