TEC wanapaswa kulaani vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi siyo kuyaita maandamano, sababu hayakua maandamanoMasheikh wa Bakwata kamwe hawatamuelewa kwa sababu wameshahakikishiwa sahani za kutosha za ubwabwa. Enzi zile ndugu zao wanauwawa hovyo kule Mkuranga na Kibiti kwa kisingizio cha ugaidi, hawakuwahi hata kutoa tamko la kukemea yale mauaji! Ila ni TEC ndiyo waliokemea.
Na awamu hii tena utekaji na mauaji yamekithiri! TEC wamejitokeza tena kukemea, pamoja na kudai haki za raia kuheshimiwa! Bakwata wanakuja na matamko ya kuwapinga TEC, kisa tu Rais aliyeko madarakani ni Muislam!
Ukiwauliza aliyewafunga Masheikh wa Uamsho kipindi kile kama ni Mkristo, kamwe hawawezi kutoa majibu sahihi kwa sababu tu ya udini na unafiki wao.
TEC tangu mwanzo mlipokuwa mnafanya ule usanii wenu wa kuyapinga mapendekezo ya tume ya uchaguzi waliwaambia ukweli! Mkawapuuza. Wakati wa uchaguzi wa serikali ya mitaa, waliwaambia mnachokifanya siyo sahihi! Mkawapuuza.TEC wanapaswa kulaani vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi siyo kuyaita maandamano, sababu hayakua maandamano
TEC kukemea mamlaka tu kutumia nguvu kubwa ni unafiki na ni kiashiria kuwa wanaunga mkono kilichofanywa na wafanya vurugu na huenda wako nyuma Yao
Wakati bakwata wanawasihi waislam kutunza amani,kujiepusha na vurugu, TEC walikua wakitoa matamko ya kuchochea
Ukijiuliza nini kinaisukuma TEC kuwa hivyo huoni zaidi ya dini ya rais aliye madarakani
So kemeeni TEC kwa udini,na ni kweli waislam wengi sana wanaona hakuna la maana zaidi ya udini
Wewe sio muislam acha uongo muislam gani unatukana labda sheikh kafiriMIMI NI MUISLAMU ILA USENGE UNAOFANYWA NA BAKWATA HAUUNGWI MKONO NA TUTAANZA KUWASALIMIA BAKWATA NYUMBA KWA NYUMBA
Ukiwa mtawala huwezi fuata kila pendekezo,acha ujingaTEC tangu mwanzo mlipokuwa mnafanya ule usanii wenu wa kuyapinga mapendekezo ya tume ya uchaguzi waliwaambia ukweli!
Tangu lini wapinzani wakajali uchaguzi wa serikali za mitaa,wewe ulipiga kura?Mkawapuuza. Wakati wa uchaguzi wa serikali ya mitaa, waliwaambia mnachokifanya siyo sahihi! Mkawapuuza.
Kuifungia chadema kivipi?..na waliruhusiwa na Samia kufanya mikutano ya ndani na hadhara?.. useme utazuwia uchaguzi,tutakinukisha halafu uachiwe tu?Mlipoifungia Chadema na kumfunga mwenyekiti wake kwa hila, waliwaambia mnachofanya siyo sahihi! Bado mliwapuuza.
Hapakua na maandamano oktoba, maandamano huchomi miundombinu na mali za watu, miundombinu imechomwa saa nne asubuhiMaandamano ya tarehe 29 Oktoba yaliyo changanyikana na vurugu ndani yake, ni matokeo ya watawala waliolewa madaraka kupitiliza na pia waliojawa na kiburi cha madaraka! Na waliokosa hofu ya Mungu! Na ndiyo maana wakaagiza makundi yao ya kihalifu kuua raia kwa risasi za moto, badala ya maji ya washa washa, mabomu ya machozi na risasi za mpira.
Msingi wa amani ni haki....Tendeni haki muone Kama Kuna atakaeandamanaTEC wanapaswa kulaani vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi siyo kuyaita maandamano, sababu hayakua maandamano
TEC kukemea mamlaka tu kutumia nguvu kubwa ni unafiki na ni kiashiria kuwa wanaunga mkono kilichofanywa na wafanya vurugu na huenda wako nyuma Yao
Wakati bakwata wanawasihi waislam kutunza amani,kujiepusha na vurugu, TEC walikua wakitoa matamko ya kuchochea
Ukijiuliza nini kinaisukuma TEC kuwa hivyo huoni zaidi ya dini ya rais aliye madarakani
So kemeeni TEC kwa udini,na ni kweli waislam wengi sana wanaona hakuna la maana zaidi ya udini
Hakuna Muislamu, Mkristo hata asiye na dini mwenye lugha hizi, tafuta sehemu nyingine ya kujiweka.MIMI NI MUISLAMU ILA USENGE UNAOFANYWA NA BAKWATA HAUUNGWI MKONO NA TUTAANZA KUWASALIMIA BAKWATA NYUMBA KWA NYUMBA
Haki gani iliyominywa hadi mkafanya uhalifu?Msingi wa amani ni haki....Tendeni haki muone Kama Kuna atakaeandamana
Mimi nipo mtwara kwenye kile kilichokiitwa uchaguzi tandahimba wàtu wameuana kwasababu alietangazwa sio aliepata kura nyingi na mkuu wa mkoa akahitimisha kwamba ukubali ukatae hilo lishapitaHaki gani iliyominywa hadi mkafanya uhalifu?
Walijuaje aliyetangazwa siyo aliyepata kura nyingi?Mimi nipo mtwara kwenye kile kilichokiitwa uchaguzi tandahimba wàtu wameuana kwasababu alietangazwa sio aliepata kura nyingi na mkuu wa mkoa akahitimisha kwamba ukubali ukatae hilo lishapita
Umetumia kigezo gani kusema Bakwata sio waislamMi Muislam naomba niweke wazi. Bakwata ni dini nyingine kabisaa tofauti na Islam. Ila imewekwa pale kimkakati tu. So ndugu zetu msije kututenga kisa dini iliyopandikizwa.
Wewe wanakutia sana aisee sasa hebu nikuambie katika Vituo vyote 28 mgombea wa ccm kaongoza vituo vitano tu tena kwa utofauti wa kura hata 40 hazifiki kwa hivyo vituo alivyoongoza.. ila sasa mgombea wa Act kuna vituo Kama 12 alikuwa anampita wa ccm kwa kura Hadi 150Walijuaje aliyetangazwa siyo aliyepata kura nyingi?
Ccm inaleta mpasuko.Godbless Lema ameonya kuwa “endapo vitendo vya upumbavu havitazuiwa, nchi inaweza kuingia katika mgogoro mkubwa wa uhasama wa kidini.”
Kwa mujibu wa Lema, haiwezekani kuficha uovu kwa kujificha nyuma ya dini, akisisitiza kuwa CCM kutumia dini kutetea makosa ni njia isiyo sahihi na inaweza kuleta madhara makubwa kwa taifa.
Aidha, Lema amesema kuwa “ni mtu mpumbavu tu ndiye anaweza kushindwa kujua kinachoendelea.”
Una uhakika sana,ina maana wewe ulikua kampeni meneja wa huyo mgombea wa upinzani,tuwekee karatasi za matokeo zilizosainiwa na mawakala tujiridhishe, tofauti na hapo ni uzushi tu, halafu mlisema hakuna aloenda kupiga kura,hii vipi tena!?Wewe wanakutia sana aisee sasa hebu nikuambie katika Vituo vyote 28 mgombea wa ccm kaongoza vituo vitano tu tena kwa utofauti wa kura hata 40 hazifiki kwa hivyo vituo alivyoongoza.. ila sasa mgombea wa Act kuna vituo Kama 12 alikuwa anampita wa ccm kwa kura Hadi 150