TEC wanapaswa kulaani vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi siyo kuyaita maandamano, sababu hayakua maandamano
TEC kukemea mamlaka tu kutumia nguvu kubwa ni unafiki na ni kiashiria kuwa wanaunga mkono kilichofanywa na wafanya vurugu na huenda wako nyuma Yao
Wakati bakwata wanawasihi waislam kutunza amani,kujiepusha na vurugu, TEC walikua wakitoa matamko ya kuchochea
Ukijiuliza nini kinaisukuma TEC kuwa hivyo huoni zaidi ya dini ya rais aliye madarakani
So kemeeni TEC kwa udini,na ni kweli waislam wengi sana wanaona hakuna la maana zaidi ya udini