LGE2024 Lema: CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini na kuondoa hadhi yetu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wiki ya uchaguzi wa Rais na Wabunge, ndio wiki tutapiga mnada mali za Lemma kutokana na madeni ya Benki
 
Ni kweli kabisa hiyo mipango ipo na inaratibiwa vyema na ndugu nyepesi.
 
Niliwahi kusema humu nchi hii ina vyama vya siasa viwili tu: CCM na CHADENA vilivyobakia vyote ni CCM B.
 
Sasa nyie CHADEMA si mna watu pigeni kazi maana chama ni watu. Sasa CCM wakiwawekea watu na je nani atawapigia kura?
 
Niliwahi kusema humu nchi hii ina vyama vya siasa viwili tu: CCM na CHADENA vilivyobakia vyote ni CCM B.
Chadema hakina hiyo hadhi ,umesahau kuwa kinategemea wagombea wa Urais to CCM(2015)
 
Chadema endeleeni tu kuwa wanaharakati.
 
Sasa Kama chama kikuu cha upinzani wanaamua CCM na ACT, hao mamilioni ya wanachama wa Chadema wana mchango gani kwenye chama?
 
Hivi Lema ndio msemaji rasmi wa hiki chama?Mzee Mbowe unaaibisha ,hata kama ni undugu jaribu hata kuuficha jamani🙆‍♂️🙆‍♂️
wanapeleka mambo kihuni wakati dunia imeshajama huko kitambo
 
Ccm inajidanganya, tena kwa hili ambapo tiyari wameisha vuruga uchaguzi ndo basi tena ,leo dunia nzima ukiuliza vyama siasa tz ni ccm na Chadema , vilabu vya mpira utazungumza simba , yanga , Adam, so mikakati iyo nikuzidi jivua nguo
Mkuu Adam mchomvu kaanzisha lini timu yake.
 
Jua Lile Jua Lile litee .....mama ...aiya ...aiyaa mama ❓❓❓
 
Kila mtu acheze mechi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…