Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kusema humu nchi hii ina vyama vya siasa viwili tu: CCM na CHADENA vilivyobakia vyote ni CCM B.Lema akizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari leo Novemba 13 amesema CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini
Lema amesema kuwa CHADEMA imenasa vikao ambavyo CCM wanafanya chama cha siasa ambacho wana ushirika wa karibu wa kuwawekea wagombea ili wagombea wao ionekane wameshinda wengi ili baada ya uchaguzi huu wakitangaze chama hicho kama chama kikubwa cha upinzani.
Lema ameongeza kuwa mpango hiu wameujua hivyo CCM waache mara moja, haiwezekani ACT Wazalendo kuwa na wagombea 3,000 nchini, hawana machinery hiyo, sijui hata kama Arusha wana mtu hata mmoja.
ACT wanasema wana wagombea 50,000 halafu Mchengerwa anasema warudisheni hata kama hawajadhaminiwa na chama. Maana yake wanataka kupitisha vyama vya upinzani kimkakati lakini ni watu wao halafu watangaze chama cha pili ni hiki, cha tatu ni hiki na cha nne ni CHADEMA ili waondoe hadhi yetu ya kuwa chama kikubwa cha upinzani.
PIA SOMA
- LIVE - CHADEMA wanazungumza na Waandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Sasa nyie CHADEMA si mna watu pigeni kazi maana chama ni watu. Sasa CCM wakiwawekea watu na je nani atawapigia kura?Lema akizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari leo Novemba 13 amesema CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini
Lema amesema kuwa CHADEMA imenasa vikao ambavyo CCM wanafanya chama cha siasa ambacho wana ushirika wa karibu wa kuwawekea wagombea ili wagombea wao ionekane wameshinda wengi ili baada ya uchaguzi huu wakitangaze chama hicho kama chama kikubwa cha upinzani.
Lema ameongeza kuwa mpango hiu wameujua hivyo CCM waache mara moja, haiwezekani ACT Wazalendo kuwa na wagombea 3,000 nchini, hawana machinery hiyo, sijui hata kama Arusha wana mtu hata mmoja.
ACT wanasema wana wagombea 50,000 halafu Mchengerwa anasema warudisheni hata kama hawajadhaminiwa na chama. Maana yake wanataka kupitisha vyama vya upinzani kimkakati lakini ni watu wao halafu watangaze chama cha pili ni hiki, cha tatu ni hiki na cha nne ni CHADEMA ili waondoe hadhi yetu ya kuwa chama kikubwa cha upinzani.
PIA SOMA
- LIVE - CHADEMA wanazungumza na Waandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
jidanganyeKama ACT wanasubiri wajengwe na CCM wanapoteza muda Chadema haikujengwa na CCM imejengwa na wananchi.
Hivi Lema ndio msemaji rasmi wa hiki chama?Mzee Mbowe unaaibisha ,hata kama ni undugu jaribu hata kuuficha jamani🙆♂️🙆♂️chadema wanakosa umakini kwa kila jambo wallah
Chadema hakina hiyo hadhi ,umesahau kuwa kinategemea wagombea wa Urais to CCM(2015)Niliwahi kusema humu nchi hii ina vyama vya siasa viwili tu: CCM na CHADENA vilivyobakia vyote ni CCM B.
Sasa Kama chama kikuu cha upinzani wanaamua CCM na ACT, hao mamilioni ya wanachama wa Chadema wana mchango gani kwenye chama?Lema akizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari leo Novemba 13 amesema CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini
Lema amesema kuwa CHADEMA imenasa vikao ambavyo CCM wanafanya chama cha siasa ambacho wana ushirika wa karibu wa kuwawekea wagombea ili wagombea wao ionekane wameshinda wengi ili baada ya uchaguzi huu wakitangaze chama hicho kama chama kikubwa cha upinzani.
Lema ameongeza kuwa mpango hiu wameujua hivyo CCM waache mara moja, haiwezekani ACT Wazalendo kuwa na wagombea 3,000 nchini, hawana machinery hiyo, sijui hata kama Arusha wana mtu hata mmoja.
ACT wanasema wana wagombea 50,000 halafu Mchengerwa anasema warudisheni hata kama hawajadhaminiwa na chama. Maana yake wanataka kupitisha vyama vya upinzani kimkakati lakini ni watu wao halafu watangaze chama cha pili ni hiki, cha tatu ni hiki na cha nne ni CHADEMA ili waondoe hadhi yetu ya kuwa chama kikubwa cha upinzani.
PIA SOMA
- LIVE - CHADEMA wanazungumza na Waandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
2020, 2010,2015 chadema walitegemea wagombea wa ccmChadema hakina hiyo hadhi ,umesahau kuwa kinategemea wagombea wa Urais to CCM(2015)
wanapeleka mambo kihuni wakati dunia imeshajama huko kitamboHivi Lema ndio msemaji rasmi wa hiki chama?Mzee Mbowe unaaibisha ,hata kama ni undugu jaribu hata kuuficha jamani🙆♂️🙆♂️
Kihuni wapi lema anahaki ya kutoa maoni yakewanapeleka mambo kihuni wakati dunia imeshajama huko kitambo
anatumika wendazitto ni usalama mbaguzi wa kidini! waliosoma Cuba wataelewa
Toka lini mapunga yakawa na akili.Chadema walishakosa hiyo hadhi kitambo sana hawana la maana hata mitaani lema asijipe hadhi asiyenayo
USSR
Mkuu Adam mchomvu kaanzisha lini timu yake.Ccm inajidanganya, tena kwa hili ambapo tiyari wameisha vuruga uchaguzi ndo basi tena ,leo dunia nzima ukiuliza vyama siasa tz ni ccm na Chadema , vilabu vya mpira utazungumza simba , yanga , Adam, so mikakati iyo nikuzidi jivua nguo
Kila mtu acheze mechi yakeLema akizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari leo Novemba 13 amesema CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini