PreGE2025 Lema: G-55 wanaondoka kwasababu CHADEMA ni Chama cha Upinzani siyo Chawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza hapo jana Mei 12 katika ziara yao ya "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi" ameeleza kuwa "Wanaondoka kwasababu Mungu anaipenda Chadema, Chama hiki kwasababu ni cha Upinzani lazima misimamo yake, Kauli zake, Matendo yake yawe ya kipinzani. Sasa wale wapumbavu 55 hawaiiti G55 ni wapumbavu na hata kama hapa wapo nawaambia kabisa"

Pia, Soma: Heche: Wasiwatishe, CHADEMA haikuanzishwa kutimiza ndoto za Ubunge

Lema go go go go

Heche usiogope songa mbele

Acha walafi na mapandikizi ya ccm waondoke
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza hapo jana Mei 12 katika ziara yao ya "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi" ameeleza kuwa "Wanaondoka kwasababu Mungu anaipenda Chadema, Chama hiki kwasababu ni cha Upinzani lazima misimamo yake, Kauli zake, Matendo yake yawe ya kipinzani. Sasa wale wapumbavu 55 hawaiiti G55 ni wapumbavu na hata kama hapa wapo nawaambia kabisa"

Pia, Soma: Heche: Wasiwatishe, CHADEMA haikuanzishwa kutimiza ndoto za Ubunge

Hizi ndio lugha za Chadema ya Lissu. Anapata wapi ubavu kuwaita waliojiunga Chadema mwaka 1993 kuwa ni wapumbavu? Kwa sababu tu wametofautiana nae kuhusu mkakati wa kufuata?

Amandla...
 
kujiunga 1993 sio hoja. ukileta upumbavu, unakuwa mpumbavu.
 
Back
Top Bottom