Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
Biblia haina tusi. Yesu hawezi kuwa mpumbavu.Na biblia haina matusi? Kama sio tusi, unaweza kumuita Yesu mpumbavu?
Amandla...
Biblia haina tusi. Yesu hawezi kuwa mpumbavu.Na biblia haina matusi? Kama sio tusi, unaweza kumuita Yesu mpumbavu?
Amandla...
Kwa hiyo mtu akimuita Yesu mpumbavu utaona poa tu kwa sababu hawezi kuwa mpumbavu?Biblia haina tusi. Yesu hawezi kuwa mpumbavu.
Kila mwana Chadema ana price tag na wakati wake wa kununuliwa. Lema muda wake haujafika kwasababu haonekani kama ni asset vya kutosha.Lema sio boya! kama aliweza kumtosa "kaka" Freeman
ukisema "kila mwanachadema" unamaanisha nini. unawafahamu wanachadema? Hivi una habari kuwa wanachadema wanaovaa nguo za kijani wameongezeka kiasi gani.Kila mwana Chadema ana price tag na wakati wake wa kununuliwa. Lema muda wake haujafika kwasababu haonekani kama ni asset vya kutosha.
ita for your own risk!Kwa hiyo mtu akimuita Yesu mpumbavu utaona poa tu kwa sababu hawezi kuwa mpumbavu?
Amandla...
Ni "at your own risk". Haujajibu swali.ita for your own risk!
Hivi kuna watu bado wanamsikiliza huyu mdudu wa arusha? Yaani huyu na Maria ndio think tank ya chadomo.Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza hapo jana Mei 12 katika ziara yao ya "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi" ameeleza kuwa "Wanaondoka kwasababu Mungu anaipenda Chadema, Chama hiki kwasababu ni cha Upinzani lazima misimamo yake, Kauli zake, Matendo yake yawe ya kipinzani. Sasa wale wapumbavu 55 hawaiiti G55 ni wapumbavu na hata kama hapa wapo nawaambia kabisa"
Pia, Soma: Heche: Wasiwatishe, CHADEMA haikuanzishwa kutimiza ndoto za Ubunge
kwani tuko mahakamani hapa?!Ni "at your own risk". Haujajibu swali.
Amandla...
Tuko kwenye jukwaa. Hautalazimishwa kujibu maswali lakini utaulizwa maswali.kwani tuko mahakamani hapa?!
Amandla ni niniTuko kwenye jukwaa. Hautalazimishwa kujibu maswali lakini utaulizwa maswali.
Amandla...
Ahahahahaha...mkuu maana yake ni niji??😂😂Ogopa, Mkutano umejaa wanaume tu. Halafu wako serious hawacheki.
Upumbavu sio tusi. Ni kivumishi tu ,tena kivumishi cha sifaHiyo sio lugha tunayotumiwa dhidi ya watu waliokuzidi umri. Ujumbe unaweza kufikishwa bila kutumia matusi. August sio mbali.
Amandla...
Labda katika mazingira ya sasa.Upumbavu sio tusi. Ni kivumishi tu ,tena kivumishi cha sifa
Amandla" is a Zulu and Xhosa word meaning "power." It's a powerful rallying cry associated with resistance movements, particularly the struggle against apartheid in South Africa, where it was used with the response "Ngawethu," meaning "it's ours," creating the phrase "Amandla Ngawethu" or "power to the people." The upraised clenched fist, a symbol of solidarity, is also associated with the term, according to the Museum of New Zealand Te Papa Tongarewa.I Google.
Amandla...