Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Lema sio boya! kama aliweza kumtosa "kaka" FreemanHata wewe utaondoka tu Dau likifika kama la Felix π
Tuweke akiba ya maneno πLema sio boya! kama aliweza kumtosa "kaka" Freeman
wakitoka hapo wamama nyumbani ni kupewa maelekezo tu. Baba ni kichwa cha familia. wabibi ni kutii maelekezo. akibisha bisha chukua kadi ya kura, KwishneyOgopa, Mkutano umejaa wanaume tu. Halafu wako serious hawacheki.
Noma sana!wakitoka hapo wamama nyumbani ni kupewa maelekezo tu. Baba ni kichwa cha familia. wabibi ni kutii maelekezo. akibisha bisha chukua kadi ya kura, Kwishney
maneno gani mbatizaji. Hii ndio CHADEMA iliyokuwa ikisubiriwa na wananchi. waTanganyika wamecheleweshwa sana na wachumia tumboTuweke akiba ya maneno π
Unalia uhakika kuna wanaume tupu hapo?Ogopa, Mkutano umejaa wanaume tu. Halafu wako serious hawacheki.
Lema akipandishiwa dau anaondoka na hii haitakuwa mara ya kwanza πmaneno gani mbatizaji. Hii ndio CHADEMA iliyokuwa ikisubiriwa na wananchi. waTanganyika wamecheleweshwa sana na wachumia tumbo
mpandishieni sasaLema akipandishiwa dau anaondoka na hii haitakuwa mara ya kwanza π
Bei yake utaijua August πππmpandishieni sasa
Hizi ndio lugha za Chadema ya Lissu. Anapata wapi ubavu kuwaita waliojiunga Chadema mwaka 1993 kuwa ni wapumbavu? Kwa sababu tu wametofautiana nae kuhusu mkakati wa kufuata?Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza hapo jana Mei 12 katika ziara yao ya "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi" ameeleza kuwa "Wanaondoka kwasababu Mungu anaipenda Chadema, Chama hiki kwasababu ni cha Upinzani lazima misimamo yake, Kauli zake, Matendo yake yawe ya kipinzani. Sasa wale wapumbavu 55 hawaiiti G55 ni wapumbavu na hata kama hapa wapo nawaambia kabisa"
Pia, Soma: Heche: Wasiwatishe, CHADEMA haikuanzishwa kutimiza ndoto za Ubunge
kujiunga 1993 sio hoja. ukileta upumbavu, unakuwa mpumbavu.Hizi ndio lugha za Chadema ya Lissu. Anapata wapi ubavu kuwaita waliojiunga Chadema mwaka 1993 kuwa ni wapumbavu? Kwa sababu tu wametofautiana nae kuhusu mkakati wa kufuata?
Amandla...
Hatari sana ,Mungu yupo kaziniOgopa, Mkutano umejaa wanaume tu. Halafu wako serious hawacheki.
Hiyo sio lugha tunayotumiwa dhidi ya watu waliokuzidi umri. Ujumbe unaweza kufikishwa bila kutumia matusi. August sio mbali.kujiunga 1993 sio hoja. ukileta upumbavu, unakuwa mpumbavu.
upumbavu sio tusi. Neno hili limeandikwa kwenye Biblia mara nyingi sana.Hiyo sio lugha tunayotumiwa dhidi ya watu waliokuzidi umri. Ujumbe unaweza kufikishwa bila kutumia matusi. August sio mbali.
Amandla...
Na biblia haina matusi? Kama sio tusi, unaweza kumuita Yesu mpumbavu?upumbavu sio tusi. Neno hili limeandikwa kwenye Biblia mara nyingi sana.