PreGE2025 Lema: G-55 wanaondoka kwasababu CHADEMA ni Chama cha Upinzani siyo Chawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kila mwana Chadema ana price tag na wakati wake wa kununuliwa. Lema muda wake haujafika kwasababu haonekani kama ni asset vya kutosha.
ukisema "kila mwanachadema" unamaanisha nini. unawafahamu wanachadema? Hivi una habari kuwa wanachadema wanaovaa nguo za kijani wameongezeka kiasi gani.

bro! these things are kambasome!!!
 
Hivi kuna watu bado wanamsikiliza huyu mdudu wa arusha? Yaani huyu na Maria ndio think tank ya chadomo.
 
I Google.

Amandla...
Amandla" is a Zulu and Xhosa word meaning "power." It's a powerful rallying cry associated with resistance movements, particularly the struggle against apartheid in South Africa, where it was used with the response "Ngawethu," meaning "it's ours," creating the phrase "Amandla Ngawethu" or "power to the people." The upraised clenched fist, a symbol of solidarity, is also associated with the term, according to the Museum of New Zealand Te Papa Tongarewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…