Lema GodBless, usiwe kama Polepole, if needs to be , kimbia nchi for your safety!

Lema GodBless, usiwe kama Polepole, if needs to be , kimbia nchi for your safety!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Usiwe shujaa aliyekufa. Usiwe kama Polepole. Unaweza kuleta mabadiriko tarajiwa ukiwa nje ya nchi!
All angles of "independence" struggle are acceptable depending on the prevailing security situations in the country .
DO THE NEEDFUL

Epuka kuwa kama Polepole!
 
Aende kumzika Raila kwanza halafu wakati wa kurudi afikiri sana.
 
Njia aliyotumia ni sahihi na akiamua kuondoka sifikirii Kama anashindwa .

Kuhusu hati yake ya kusaifiria hata Sugu yupo USA pia anaweza kupitia border nje ya Tanzania
 
Huyu si hati yake ya kusafiria ilizuiliwa? Na hawaruhusiwi kusafiri.
Kenya kuna ragiki yake aliyempokea last nightmare wakati wa Maguguli. Pita njia za panya, Jakowi...atakutagutia passport
 
Anayo hiyo viza bado?
Hao wanahangaika Viza zao za ukimbizi zilikwisha na wapo hapo kurenew ni lazima warudi.
Ndio wanaanza Siasa,hao matapeli wangekuwa na open visa siku nyiingi msingewaona hapo.
Wote na mwenzie anaekesha mahakamani wangeshatimka.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hiyo Scenario ya kufatiliwa ni ya uongo Lema kaitengeneza ili apate sababu ya kukimbia , Lema anajijua yeye ni muoga na tarehe 29 hawezi kujitokeza barabarani.

Kwahiyo anatafuta sababu ya kukimbia kabla ya tarehe haijafika ili aende akapige mikwara mtandaoni akiwa mbali kama ilivyo kawaida ya Nyumbu wengine
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Usiwe shujaa aliyekufa. Usiwe kama Polepole. Unaweza kuleta mabadiriko tarajiwa ukiwa nje ya nchi!
All angles of "independence" struggle are acceptable depending on the prevailing security situations in the country .
DO THE NEEDFUL

Epuka kuwa kama Polepole!
Pass ziliporwa au zilisharudishwa,kama zilirudi zuio la kutoka.
 
Back
Top Bottom