Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
hawajui historia ya lema wakati wa kupiga malori."LEMA HAJAELEWA SOMO" TUNDU LISSU
"Huyu jamaa mbona nywele ziko safi,hajaelewa somo!?" Hajaelewa zilisikika sauti za wafuasi wa Chadema,Lema akazuga mkuu mbona unagain weight,meseji sent,je huyu jamaa asiyeelewa somo ni double agent,huyo jamaa ni nani ni Bwana Lema aliyetokea kitanashati kachana nywele style ya panki huku wenzake wakiwa wamesokota nywele mtindo wa rasta wakimuenzi mfungwa Tundu Lissu ambaye hachani nywele zake kwa muda sasa akiwa mahabusu ikiwa ni mwaka na miezi kadhaa.Je huyu jamaa asiyeelewa somo yupo kwenye mgomo baridi au anatumikia maslahi yake na sio ya Chadema.
#Muda ni Mwalimu,Lema na lake jambo.
Yaani umeandika mataputapu kweli... nazichukia mno shule za kata"LEMA HAJAELEWA SOMO" TUNDU LISSU
"Huyu jamaa mbona nywele ziko safi,hajaelewa somo!?" Hajaelewa zilisikika sauti za wafuasi wa Chadema,
Lema akazuga mkuu mbona unagain weight,meseji sent,je huyu jamaa asiyeelewa somo ni double agent,huyo jamaa ni nani ni Bwana Lema aliyetokea kitanashati kachana nywele style ya panki huku wenzake wakiwa wamesokota nywele mtindo wa rasta wakimuenzi mfungwa Tundu Lissu ambaye hachani nywele zake kwa muda sasa akiwa mahabusu ikiwa ni mwaka na miezi kadhaa.Je huyu jamaa asiyeelewa somo yupo kwenye mgomo baridi au anatumikia maslahi yake na sio ya Chadema.
#Muda ni Mwalimu,Lema na lake jambo.
Duh...!, badhi ya members wa Chadema mnachekesha sana, mnataka kuifanya Lissu hair style ya Dedan Kimati, kuwa ndio official Chadema hair style, kiongozi asiyeiga mtindoje huyu jamaa asiyeelewa somo ni double agent
Je mtindo huo wa nywele ni the official house style ya chama or ni personal preference?,huyo jamaa ni nani ni Bwana Lema aliyetokea kitanashati kachana nywele style ya panki huku wenzake wakiwa wamesokota nywele mtindo wa rasta wakimuenzi mfungwa Tundu Lissu ambaye hachani nywele zake kwa muda sasa akiwa mahabusu ikiwa ni mwaka na miezi kadhaa.Je huyu jamaa asiyeelewa somo yupo kwenye mgomo baridi au anatumikia maslahi yake na sio ya Chadema.
Naunga mkono hoja, muda ni Mwalimu mzuri, mimi nasimama na Lema, sio kila mwana Chadema ni nyumbu kufanya mambo kinyumbu nyumbu, hair style is personal preference, kama unaweza kutimua nywele kama kichaa au kufuga rasta its ok, na wasio iga waacheni, waheshimuni, Lema ni kada muhimu sana kwa Chadema, amewaazima CCM jimbo la Arusha for 10 years, 2030 analirejesha, msimuanzishie dhana ya usaliti kwa kudemand openness and transparency on financial matters za matumizi ya fedha za kuchangia chama!#Muda ni Mwalimu,Lema na lake jambo.
Mleta uzi huu ni mccm mwenzako.Duh...!, badhi ya members wa Chadema mnachekesha sana, mnataka kuifanya Lissu hair style ya Dedan Kimati, kuwa ndio official Chadema hair style, kiongozi asiyeiga mtindo
huo, mnamyooshea kidole cha usaliti, na kumuita ni msaliti!, sasa mnataka kumuanzishia Lema tuhuma za usaliti kama mlivyomfanyia Zitto?.
Je mtindo huo wa nywele ni hou
Duh...!, yaani mwana CCM amuanzshie dhana ya usaliti mwana Chadema ?!.Mleta uzi huu ni mccm mwenzako.
Pascal Mayalla ukiacha wewe pekee yako, CCM wenzako wote huku jukwaani ni nyuzi za kiuongo uongo zisizo na mashiko wala ushahidi. Naona hata PM wako ameiga hiyo style yeye anasema hadharani(jukwaa la waziri mkuu) kana kwamba watanzania hawana bongo za kuchagua taarifa za kweli na uongo.Duh...!, yaani mwana CCM amuanzshie dhana ya usaliti mwana Chadema ?!.
No way!
P
Ya kinaijeria haina sukari🤣Chai
Kwenye vita adui huchagua silaha madhubuti kumuangamiza hasimu.Duh...!, yaani mwana CCM amuanzshie dhana ya usaliti mwana Chadema ?!.
No way!
P
Ndiyo hivyo, kwani huko CCM wote mnafikiri kwa namna moja?Duh...!, yaani mwana CCM amuanzshie dhana ya usaliti mwana Chadema ?!.
No way!
P
HahahaYaani umeandika mataputapu kweli... nazichukia mno shule za kata
Unajifanya kushangaa kweli kwamba hauyaoni humu?Duh...!, yaani mwana CCM amuanzshie dhana ya usaliti mwana Chadema ?!.
No way!
P
....huu ndiyo msingi wa hoja yako nini, Mkuu? Style ya "uma na kupuliza" .msimuanzishie dhana ya usaliti kwa kudemand openness and transparency on financial matters za matumizi ya fedha za kuchangia chama!