johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Iko huko huko Ukurasani XUzushi. Sema chanzo maana kwenye mtandao wa X hajaandika kitu kama hicho.
Inawzekana hii kauli aliitoa siku nyingi tu ila mnataka kuitumia vibaya baada ya Lissu kutangaza kugombea (propaganda)
Alichoandika huko kwenye mtandao wa X ni hiki:
Kuna tofauti kubwa kati ya minyukano na utovu wa nidhamu. Na jambo la msingi ni kuwa wanachama wetu wengi pengine watakuwa wanajua tofauti zake. Utovu wa nidhamu unaua umoja na upendo na mahusiano. Tuko ktk kipindi cha kawaida sana cha kisiasa ndani ya Chama chetu,isipokuwa kwa namna tunavyo tazama, kufikiri, kutenda ndio inaweza kuwa tatizo au baraka.
Hiyo Lema alikuwa anaongea siyo KuandikaView attachment 3175565
Usidanganywe
Ili iwe nini sasa ? πWanapotosha tu watu.
Hawa jamaa dah....huwaga sipendi kusikia neno CCM itatawala milele ila dah...ngoja niache tu kufuatilia sIasa za nchi hii maana haya madaraka inaonekana siyo CCM tu wenye kiu nayo....Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! πΌ
Jumaa Mubarak π
Nilisema.Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! πΌ
Jumaa Mubarak π
Nyakati zinabadilika. Aache ushenziYupo sahihi
π
So CDM unaona iko vilevileπ.
In short CCM wanaona ni Bora abaki chairman kuliko hicho chuma kisichopindisha maneno.
Sasa tathmini nani anahitajika kubaki na CCM wanammudu vizuri.
Ya 2015 bado hayajatosha?Bado unazungusha mikono?
Tatizo ni umwenyekiti tu. Kwanini mnakataa mtu mwingine akiwa mwenyekiti..? Nyie si chama che demokrasia na maendeleo sasa niwaulize kwanini hamtaki demokrasia iamue..? Lissu mkimkata basi CCM waongoze tu milele maana itakua haina maana unajisifia kuwa ww utaleta demokrasia ila ndani yako kuna uimlaMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! πΌ
Jumaa Mubarak π
Siyo kila wakati mtu huyohuyo akatumiwa na Mungu. Hasa mtu huyo anapojaa kiburi na majivunoMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! πΌ
Jumaa Mubarak π
Lissu alipata kura nyingi kuliko hata magufuli jambazi la kura.Hakuna mtu zaidi ya Chama....Kaondoka Dr Slaa CHADEMA ambaye alipata kura nyingi za urais kuliko Lissu lakin CDM bado ipo.
Chawa namba moja wa Mzee Mbowe anena ,tulijua tu lazima atoe boko πββοΈπββοΈπββοΈMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! πΌ
Jumaa Mubarak π
Tulishasemaga acheni kupoteza muda na CDMHawa jamaa dah....huwaga sipendi kusikia neno CCM itatawala milele ila dah...ngoja niache tu kufuatilia sIasa za nchi hii maana haya madaraka inaonekana siyo CCM tu wenye kiu nayo....
Yaani imefikia chadema wanapigana vijembe hadharani badala ya kumalizana ndani ya vikao vya chama?
Wakikabidhiwa nchi?
Lissu alipata kura nyingi kuliko hata magufuli jambazi la kura.
anamlenga kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi tu πMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! πΌ
Jumaa Mubarak π
Kwa Kiongozi kugombea nafasi fulani ni hadi uwashambulie wengine?Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! πΌ
Jumaa Mubarak π