Pre GE2025 Lema: Hakunaga Mwanasiasa wa Upinzani alikuwa maarufu kama Lyatonga Mrema akajidanganya kuondoka NCCR mageuzi Lakini hiyo TLP iko wapi Leo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uzushi. Sema chanzo maana kwenye mtandao wa X hajaandika kitu kama hicho.

Inawzekana hii kauli aliitoa siku nyingi tu ila mnataka kuitumia vibaya baada ya Lissu kutangaza kugombea (propaganda)

Alichoandika huko kwenye mtandao wa X ni hiki:

Kuna tofauti kubwa kati ya minyukano na utovu wa nidhamu. Na jambo la msingi ni kuwa wanachama wetu wengi pengine watakuwa wanajua tofauti zake. Utovu wa nidhamu unaua umoja na upendo na mahusiano. Tuko ktk kipindi cha kawaida sana cha kisiasa ndani ya Chama chetu,isipokuwa kwa namna tunavyo tazama, kufikiri, kutenda ndio inaweza kuwa tatizo au baraka.
Iko huko huko Ukurasani X

Tafuta kwa Kutulia uuone mfano wa Lyatonga Mrema 😀
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
Hawa jamaa dah....huwaga sipendi kusikia neno CCM itatawala milele ila dah...ngoja niache tu kufuatilia sIasa za nchi hii maana haya madaraka inaonekana siyo CCM tu wenye kiu nayo....
Yaani imefikia chadema wanapigana vijembe hadharani badala ya kumalizana ndani ya vikao vya chama?
Wakikabidhiwa nchi?
 
Ilo nahasema kwa lisu kumshinda mbowe ni ndoto mbowe bado anaushawishi mkubwa sana ndan ya chadema na Ccm

Cha msingi mbowe asigombe bas ila tofauti na apo lisu ajiandae
Kisaikolojia kutukanwa na kutolewa siri zake zote za ndani
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
Nilisema.
Hawawezi kumpa nafasi.
Wapumbavu
 
Dr Slaa alipata Kura ngapi?

1734074820006.png
 
😄
So CDM unaona iko vilevile😁.
In short CCM wanaona ni Bora abaki chairman kuliko hicho chuma kisichopindisha maneno.
Sasa tathmini nani anahitajika kubaki na CCM wanammudu vizuri.
Ya 2015 bado hayajatosha?Bado unazungusha mikono?

Walisema CDM haifiki 2015 inapotea kama livyopotea CUF,NCCR.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
Tatizo ni umwenyekiti tu. Kwanini mnakataa mtu mwingine akiwa mwenyekiti..? Nyie si chama che demokrasia na maendeleo sasa niwaulize kwanini hamtaki demokrasia iamue..? Lissu mkimkata basi CCM waongoze tu milele maana itakua haina maana unajisifia kuwa ww utaleta demokrasia ila ndani yako kuna uimla
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
Siyo kila wakati mtu huyohuyo akatumiwa na Mungu. Hasa mtu huyo anapojaa kiburi na majivuno
 
Mrema aliishia wapi? Si aliishia maisha yake mazuri tu aliyoyachagua na mwisho akalala zakeahali pema kama ilivyo safari ya wengine?
Udhabilti na udhaifu wa TLP unamhusu Nini yeye asiyekuwepo?
Nani asiyeijua siasa na wanasiasa kuwa kama nyota? Kungaa na kufifia?
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
Chawa namba moja wa Mzee Mbowe anena ,tulijua tu lazima atoe boko 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Hawa jamaa dah....huwaga sipendi kusikia neno CCM itatawala milele ila dah...ngoja niache tu kufuatilia sIasa za nchi hii maana haya madaraka inaonekana siyo CCM tu wenye kiu nayo....
Yaani imefikia chadema wanapigana vijembe hadharani badala ya kumalizana ndani ya vikao vya chama?
Wakikabidhiwa nchi?
Tulishasemaga acheni kupoteza muda na CDM
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
anamlenga kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi tu 🐒
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
Kwa Kiongozi kugombea nafasi fulani ni hadi uwashambulie wengine?
 
Back
Top Bottom