Pre GE2025 Lema: Hakunaga Mwanasiasa wa Upinzani alikuwa maarufu kama Lyatonga Mrema akajidanganya kuondoka NCCR mageuzi Lakini hiyo TLP iko wapi Leo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Assad alishinda kwa zaidi ya 93% Bado wakamtoa madarakani kwa Aibu na nguvu... Kitendo Cha Mbowe kuendelea kung'ang'ania uenyekiti ni jambo baya kidemocracy na kitaasisi hasa ya umma, lazima kuwepo na succession plan
 
Assad alishinda kwa zaidi ya 93% Bado wakamtoa madarakani kwa Aibu na nguvu... Kitendo Cha Mbowe kuendelea kung'ang'ania uenyekiti ni jambo baya kidemocracy na kitaasisi hasa ya umma, lazima kuwepo na succession plan
Mbowe hakatalii madarakani ila sasa amwachie nani? Amwachie ambaye rafiki yake ametangulia kule ili wapange vizuri namna ya kukiua Chama?
 
Acha uwoga Lema.
Onesheni demokrasia kwa kuruhusu uchaguzi huru na ushindani ndani ya chama chenu!

Mnadai tume huru na chaguzi huru wenyewe hamtoi huo uhuru!
Haya maneno ungewaambia CCM sio CHADEMA, kwani wewe hujasikia Lissu ametangaza kugombea nafasi ya uenyekiti bila kuzuiwa.

CHADEMA kuna demokrasia hakuna kuachiana.
 
Haahaa hakuna aliye maarufu kuliko taasisi, ndo maana wapenda mabadiliko wanashauri mbowe akae pembeni kumpisha lissu Ili mambo yaendelee
 
Vijembe kwenye siasa ni kawaida, kikubwa kile wanachopambania kwa ccm wakioneshe chadema pia
 
Ebwanaa ehh unamkumbuka yule sheikh mtopea πŸ˜„ alivuma sana Enzo za harakati za mrema
Alikuwa mtata sana
Watoto wadogo hawawezi kumjuwa

Ova
 
Ebwanaa ehh unamkumbuka yule sheikh mtopea πŸ˜„ alivuma sana Enzo za harakati za mrema
Alikuwa mtata sana
Watoto wadogo hawawezi kumjuwa

Ova
Alikuwa kama chongo hivi kimtindo
 
Mkuu sidhani kama hii habari ina ukweli...hajaweka chanzo chake
Chanzo Ukurasani X na hata humu ililetwa ibeba Hoja ya Chadema bila nidhamu itapotea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mbowe kachelewa sana kumshughulikia Lissu. Acha avune uzembe wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…