Pre GE2025 Lema: Hakunaga Mwanasiasa wa Upinzani alikuwa maarufu kama Lyatonga Mrema akajidanganya kuondoka NCCR mageuzi Lakini hiyo TLP iko wapi Leo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akipewa uongozi lazima Lissu abadilike kitabia,mbinu, mtizamo na namna ya kuyaendea mambo. hilo li chama ni kubwa mno kwa sasa. atapaswa apate washauri wazuri na awe msikivu mwenye kupima mambo kwa busara na hekima.
 

mkuu wewe mbona mwoga wa mabadiliko kwenye taasisi kwa namna hii? CDM ni chama cha siasa na kinajinasibu kufuata demokrasia; kwa vile ni taasisi ya umma hakuna uhalali wa kuwa na mwenyekiti mmoja muda wote huo huku kikililia demokrasia kwenye ulingo wa siasa; ukisema ni lazima mwenyekiti awe na uwezo mfukoni wa kufanya shughuli fulani za chama unataka tuamini kuwa hiyo ni taasisi ya mtu binafsi na hapaswi kuiachia kwa wengine ambao yumkini wana uwezo wa kuiongoza na zaidi ya ilipo.
 
Assad alishinda kwa zaidi ya 93% Bado wakamtoa madarakani kwa Aibu na nguvu... Kitendo Cha Mbowe kuendelea kung'ang'ania uenyekiti ni jambo baya kidemocracy na kitaasisi hasa ya umma, lazima kuwepo na succession plan
Kwani mbowe yeye kalalamika kuhusu lisu kuchuana naye!
Huko ccm tu usitegemee kuona mtu anachukua form kuchuana na saa100 hilo hutaliona na hakuna akatayejitokeza

Ova
 
Akipewa uongozi lazima Lissu abadilike kitabia,mbinu, mtizamo na namna ya kuyaendea mambo. hilo li chama ni kubwa mno kwa sasa. atapaswa apate washauri wazuri na awe msikivu mwenye kupima mambo kwa busara na hekima.
Huwezi kuingia nafasi kuongoza kwa kutegemea washauri..sayansi inasema upo umri wa kubadilika tabia, kuongea, nk..Lissu hawezi kubadilika!
 
Kwani mbowe yeye kalalamika kuhusu lisu kuchuana naye!
Huko ccm tu usitegemee kuona mtu anachukua form kuchuana na saa100 hilo hutaliona na hakuna akatayejitokeza

Ova
Machawa wa mzee mbowe ndio wameanza kutoa mapovu balaaa
 
Kwanza elewa chama kisingefika hapo km si uwezo binafsi wa baadhi ya watu ndani ya chama kifedha na kimtazamo kulingana na mazingira ya siasa za Tanzania kwamba ukiwa mwanachama wa chama cha upinzani wewe ni adui wa serikali na pengine nchi..ni gharama kubwa sana kuwa kiongozi wa chama cha Upinzani Tanzania na ukafanikiwa kukiweka chama hapo kilipo Chadema..demokrasia ina sura nyingi kulingana na mazingira ya mahali husika na malengo kadiri mambo yanavyobadilika..usikariri demokrasia km dogma kijana! Hakuna woga..ni kuelewa tu uhalisia mkakubaliana kwenda pamoja ili mfike mnakokwenda.
 
Unapohisi wewe ni maarufu kuliko taasisi unayoiongoza ndipo tatizo huanzia.

Kumbuka habari za yule mwanapunda aliyembeba Yesu.
 
TAL bila shaka kaupata ujumbe
 
Akumbushwe tu kuwa A.L. Mrema alikuwa chawa wa MAVEGITEBO, ukisha kuwa chawa wa Mamboga basi you lose all the credibility. Nawaza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ