Lema hamuwezi Mange, amejimaliza kisiasa

Kwani Mange ndo alimuweka Lema kwenye siasa? Mange anaogopwa na watu wenye mikono michafu kama wakina Samia na Familia yake. Nampngeza Lema kwa kuwafundisha Siasa.. Mange ni muongo na haaminiki tena. Kawa kama Kigogo wa X. Chadema ni kubwa kuliko. Bora uwe upande wa Chadema kuliko mtu.
 
Lema dalali kaumbuliwa, tutegemee mengi yatamwagika kwa lema
 
Kama umemsikiliza Lema Jana utagundua kuwa Mange yuko well informed na jana Lema amejivua kinyago, period.
 
Lema ana miaka 24 kwenye siasa tena Frontline.. Kashakaa sana gerezani sababu ya hizi siasa. Utambambaisha nini wewe buku 7?
Hivi saasa achachoka siasa hizi, kuamua kula kwa matonge lkn anapiga chafya bila ya kuweka mkono mdomoni, hatimae chakula kinawarukia wengine na kimempalia
 
Hakuna kilichosemwa dhidi ya LEMA ,kikaishia kua cha Uongo au Uzushi


LEMA amepuuzwa na Wananchi.
 
Kosa ambalo lema kalifanya ni kushindana na mange. Hamuwezi na ashajimaliza kisiaasa.
Uko sahihi kwasababu Lema hawezi kuitisha maandamano watu wakamsikia ila huyo Mange ameweza mara kadhaa.Ukimwongelea Mange ni sawa na kuiongelea taasisi ila Lema ni.

Niseme tu kwamba zamani nisingeunga mkono.Thanks for the fact
 
Lema ana miaka 24 kwenye siasa tena Frontline.. Kashakaa sana gerezani sababu ya hizi siasa. Utambambaisha nini wewe buku 7?
Mbowe ana miaka mingi zaidi kwenye siasa lakini hatimaye akafika bei, itakuwa huyo pimbi lema?!.
 
Kama umemsikiliza Lema Jana utagundua kuwa Mange yuko well informed na jana Lema amejivua

Kama umemsikiliza Lema Jana utagundua kuwa Mange yuko well informed na jana Lema amejivua kinyago, period.
Mange si Mkamilifu lakini yuko vizuri sana na ni kati ya watu wachache sana wanaofahamu michezo ya CCM,Anafahamu pale Lema anafanya Semantic Engineering kwa kudogosha kile kilichotokea 29/10/ kwa kubadilisha lugha Na mission za Lema za Ad hoc diplomacy ku sabotage Campaign za kushinikiza International organisation zisichukue hatua ya kile kilichotokea 29/10..Lema hataki mabadiliko ya Mfumo,Mange can pick hicho kitu kwenye mazungumzo ya Lema easily kitu ambacho Watanzania wengi wanashindwa.
 
Kosa ambalo lema kalifanya ni kushindana na mange. Hamuwezi na ashajimaliza kisiaasa.
Hivi tangu lini Lema anakuwa ana akili? Hajui hata anachoongea, when someone said "You don't have balls" ina maana kuwa huna courage ya kufanya kitu, siyo yeye anajaribu kutufungulia suruali kuonyesha makenda* yake.....Haelewi na ni mgumu kuelewa huyo dalali na rafiki ya MAFWELE na police, huwa namfananisha na Sabela kwenye film ya SARAFINA. Leo hana aibu kama alivyo Mbowe, wote Madalali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…