commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,956
Kwanza nenda Twitter ukaione hiyo twett.Propaganda za kingese sana hizi. Hivi unadhani hizi propaganda zinamtisha Lema??
Yule atakuwa ameishiwa pesa,na Mbowe kamny8ma ushirikuano,hivyo kaamua kuzifuata toka chanzo kingine tofauti na Chadema.Sasa kama mbowe analamba asali na kuwasahau wenzie mnategemea wao wafanye nini?
Yule mwingine kaja baada ya kubuma ndani ya wiki mbili kaamua kusepa, eti anaenda kuonana na daktari wake, utafikiri anaenda kumuona daktari kwa "walk in"!
Sasa huyu kaamua kutafuta kiki ndani ya ccm kabisa!
Jamani wafuasi wa chadema amkeni toka usingizini, chama chenu hakina viongozi, ni mamuluki watupu.
Uko sahihi!Namshauri Mbowe kabla ya kung'atuka uongozini mwaka 2023 kama alivyowahi kusema (japo hili linaonekana ni changa la macho) angeangalia namna ya kumuangukia Dr mihogo wayamalize arudi kundini kukijenga chama.
Hili genge alilobaki nalo Mbowe sasa hivi halina msaada kwake wala kwa chama chake.
Ni hayo tu.
Mmoja analazimisha wana Kyela waendelee kukichagua chama ambacho toka kianzishwe mwaka 92 hadi leo 2023 viongozi wao wa kitaifa hawajawahi kukanyaga katika wilaya hiyo.
Wafuasi wa chadema ndio wapinzani wa kweli, ila viongozi wao wote CCM. Ushahidi huu hapa videoni.Sasa kama mbowe analamba asali na kuwasahau wenzie mnategemea wao wafanye nini?
Yule mwingine kaja baada ya kubuma ndani ya wiki mbili kaamua kusepa, eti anaenda kuonana na daktari wake, utafikiri anaenda kumuona daktari kwa "walk in"!
Sasa huyu kaamua kutafuta kiki ndani ya ccm kabisa!
Jamani wafuasi wa chadema amkeni toka usingizini, chama chenu hakina viongozi, ni mamuluki watupu.
Uko sahihi kabisa mkuu!Wafuasi wa chadema ndio wapinzani wa kweli, ila viongozi wao wote CCM. Ushahidi huu hapa videoni.
Kwenye ukweli lazima tuongee ukweli bila kujali unaumiza kiasi gani ili kuinusuru demokrasia yetu na upinzani kwa ujumla.Uko sahihi kabisa mkuu!
asante sana umemjibu vemaPropaganda za kingese sana hizi. Hivi unadhani hizi propaganda zinamtisha Lema??