BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ni kweli kabisaNakubaliana na Lema kwamba ipo siku yaja watoto wetu watayatandika fimbo makabuli yetu kwa sababu ya ujinga tulio nao na ushabiki wa kijinga wakati tunawatengenezea watoto wetu hali mbaya sana.
Leo hii watoto huenda wakaja kukuta nusu ya nchi inamilikiwa na Waarabu na watauliza makabuli yetu kwamba wakati Waarabu wanapewa nchi nyie mlikuwa wapi?
Msikilize Nabii Lema hadi Mwisho.
Ni dhambi kuutaka ubunge?Hamna chochote anachotaka zaidi ya ubunge.
= makaburiNakubaliana na Lema kwamba ipo siku yaja watoto wetu watayatandika fimbo makabuli yetu kwa sababu ya ujinga tulio nao na ushabiki wa kijinga wakati tunawatengenezea watoto wetu hali mbaya sana.
Leo hii watoto huenda wakaja kukuta nusu ya nchi inamilikiwa na Waarabu na watauliza makabuli yetu kwamba wakati Waarabu wanapewa nchi nyie mlikuwa wapi?
Msikilize Nabii Lema hadi Mwisho
Hamna chochote anachotaka zaidi ya ubunge ingawa anayoyasema ni kweli kwa 100%
anakusanya kodi? Ujumbe unahusu wannao kusanya kodi mkuu, Lema hakusanyi kodi hata kama anautaka Ubunge yes, lakini yeye Sio Serikali, Hauzi nchi, hakusanyi kidi, hapangi matumizi ya kodi za nchi hii.Hamna chochote anachotaka zaidi ya ubunge ingawa anayoyasema ni kweli kwa 100%
Ujumbe umfika lakini, ipo siku Makaburi yatatandikwa fimbo= makaburi
Haya bwana....Hamna chochote anachotaka zaidi ya ubunge ingawa anayoyasema ni kweli kwa 100%
Asipo upata unazani maisha ya wazazi wako na wale wajombo zako kule kijijini yatabadilika? au wewe kuna pesa utaongezewa? Nyie ndio wajinga endeleeni kujitoa ufahamu na kushabikia ujinga, Hii nchi ikipigwa nnada unazania nyie CCM ndio mtakuwa salama? Time will tell one dayHapati ubunge huyu kwa maneno yake ya kutia huruma,
Katika kipindi chake aliifanyia nini arusha mjini!
Wakati wa ubunge wake arusha ilikuwa MBOVU kweli kweli, iangalie arusha leo hii, chini ya gambo, na jembe hilo jipya.anakusanya kodi? Ujumbe unahusu wannao kusanya kodi mkuu, Lema hakusanyi kodi hata kama anautaka Ubunge yes, lakini yeye Sio Serikali, Hauzi nchi, hakusanyi kidi, hapangi matumizi ya kodi za nchi hii.
Na kuutaka Ubunge ni kosa? au hatakiwi kuongea haya kwa sababu anautaka Ubunge?;
Acha blah blah!Asipo upata unazani maisha ya wazazi wako na wale wajombo zako kule kijijini yatabadilika? au wewe kuna pesa utaongezewa? Nyie ndio wajinga endeleeni kujitoa ufahamu na kushabikia ujinga, Hii nchi ikipigwa nnada unazania nyie CCM ndio mtakuwa salama? Time will tell one day
Alikuwa anakusanya Kodi? Hivi wewe ni Mjinga? Kazi Ya Mabunge yote Duniani ni kutunga Sera nzuri za kuleta wananchi maendelei naona Tanzania kwa sababu ya kiwango cha juuu kabisa cha ujinga Bunge lao lina majukumu tofauti na Mabunge yote Duniani.Hapati ubunge huyu kwa maneno yake ya kutia huruma,
Katika kipindi chake aliifanyia nini arusha mjini!
Sawa, shangilia ila nina uhakika Kama sio wazazi wako basi ni Wajomba zako au Shangazi zako, wanataabika kule kijijini kwa sababu ya Sera za kihuni za CCM, siku moja akili zitakurudia na itakuwa too lateAcha blah blah!
Huyu naye ni mjinga sana,yeye siatazikwa ontario Canada 🇨🇦, kaburi lake litachapwa na matoto ya wazungu ambayo hayana nidhamu mpuuzi huyuNakubaliana na Lema kwamba ipo siku yaja watoto wetu watayatandika fimbo makaburi yetu kwa sababu ya ujinga tulionao na ushabiki wa kijinga wakati tunawatengenezea watoto wetu hali mbaya sana.
Leo hii watoto huenda wakaja kukuta nusu ya nchi inamilikiwa na Waarabu na watauliza makaburi yetu kwamba wakati Waarabu wanapewa nchi nyie mlikuwa wapi?
Msikilize Nabii Lema hadi Mwisho.
View attachment 3043575
Wananchi wote tunatakiwa kutafakari na kuchukua hatua za kulinda vizazi vijavyo. Uwe mwanachama au asiye nacho, Viongozi wa serikali au raia, mkulima, mfanyakazi, mfanyabiashara, wagombea... Wote yatuhusu.Hamna chochote anachotaka zaidi ya ubunge ingawa anayoyasema ni kweli kwa 100%
Sisi raia wa Tanzania tofauti yetu na nyani ni moja tu kwamba sisi tunalala majumbani nyani wanalala kwenye mitiNakubaliana na Lema kwamba ipo siku yaja watoto wetu watayatandika fimbo makaburi yetu kwa sababu ya ujinga tulionao na ushabiki wa kijinga wakati tunawatengenezea watoto wetu hali mbaya sana.
Leo hii watoto huenda wakaja kukuta nusu ya nchi inamilikiwa na Waarabu na watauliza makaburi yetu kwamba wakati Waarabu wanapewa nchi nyie mlikuwa wapi?
Msikilize Nabii Lema hadi Mwisho.
View attachment 3043575