Pre GE2025 Lema, ipo siku makaburi yetu yatachapwa fimbo na watoto wetu na wajuu zetu kwa sababu ya ujinga wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Nakubaliana na Lema kwamba ipo siku yaja watoto wetu watayatandika fimbo makaburi yetu kwa sababu ya ujinga tulionao na ushabiki wa kijinga wakati tunawatengenezea watoto wetu hali mbaya sana.

Leo hii watoto huenda wakaja kukuta nusu ya nchi inamilikiwa na Waarabu na watauliza makaburi yetu kwamba wakati Waarabu wanapewa nchi nyie mlikuwa wapi?

Msikilize Nabii Lema hadi Mwisho.

Nakubaliana na Lema kwamba ipo siku yaja watoto wetu watayatandika fimbo makabuli yetu kwa sababu ya ujinga tulio nao na ushabiki wa kijinga wakati tunawatengenezea watoto wetu hali mbaya sana.

Leo hii watoto huenda wakaja kukuta nusu ya nchi inamilikiwa na Waarabu na watauliza makabuli yetu kwamba wakati Waarabu wanapewa nchi nyie mlikuwa wapi?

Msikilize Nabii Lema hadi Mwisho.
Ni kweli kabisa
 
Hapati ubunge huyu kwa maneno yake ya kutia huruma,
Katika kipindi chake aliifanyia nini arusha mjini!
 
Msikilize Nabii Lema hadi Mwisho
= makaburi
 
Hamna chochote anachotaka zaidi ya ubunge ingawa anayoyasema ni kweli kwa 100%

anakusanya kodi? Ujumbe unahusu wannao kusanya kodi mkuu, Lema hakusanyi kodi hata kama anautaka Ubunge yes, lakini yeye Sio Serikali, Hauzi nchi, hakusanyi kidi, hapangi matumizi ya kodi za nchi hii.

Na kuutaka Ubunge ni kosa? au hatakiwi kuongea haya kwa sababu anautaka Ubunge?;
 
Hapati ubunge huyu kwa maneno yake ya kutia huruma,
Katika kipindi chake aliifanyia nini arusha mjini!
Asipo upata unazani maisha ya wazazi wako na wale wajombo zako kule kijijini yatabadilika? au wewe kuna pesa utaongezewa? Nyie ndio wajinga endeleeni kujitoa ufahamu na kushabikia ujinga, Hii nchi ikipigwa nnada unazania nyie CCM ndio mtakuwa salama? Time will tell one day
 
Wakati wa ubunge wake arusha ilikuwa MBOVU kweli kweli, iangalie arusha leo hii, chini ya gambo, na jembe hilo jipya.
 
Asipo upata unazani maisha ya wazazi wako na wale wajombo zako kule kijijini yatabadilika? au wewe kuna pesa utaongezewa? Nyie ndio wajinga endeleeni kujitoa ufahamu na kushabikia ujinga, Hii nchi ikipigwa nnada unazania nyie CCM ndio mtakuwa salama? Time will tell one day
Acha blah blah!
 
Hapati ubunge huyu kwa maneno yake ya kutia huruma,
Katika kipindi chake aliifanyia nini arusha mjini!
Alikuwa anakusanya Kodi? Hivi wewe ni Mjinga? Kazi Ya Mabunge yote Duniani ni kutunga Sera nzuri za kuleta wananchi maendelei naona Tanzania kwa sababu ya kiwango cha juuu kabisa cha ujinga Bunge lao lina majukumu tofauti na Mabunge yote Duniani.

Nyie ndio wakati wa kampeni mnaingizwa Chaka na Ahadi za Makaravati na vivuko, na ajira, hizo sio kazi za Mbunge. Taifa limejaaa wajinga sana.
 
Acha blah blah!
Sawa, shangilia ila nina uhakika Kama sio wazazi wako basi ni Wajomba zako au Shangazi zako, wanataabika kule kijijini kwa sababu ya Sera za kihuni za CCM, siku moja akili zitakurudia na itakuwa too late
 
Bora kuliko kutawaliwa na kabila fulani , mlipeleka lami mpaka porini kwenu hatuwataki .
 
Nakubaliana na Lema kwamba ipo siku yaja watoto wetu watayatandika fimbo makaburi yetu kwa sababu ya ujinga tulionao na ushabiki wa kijinga wakati tunawatengenezea watoto wetu hali mbaya sana.

Leo hii watoto huenda wakaja kukuta nusu ya nchi inamilikiwa na Waarabu na watauliza makaburi yetu kwamba wakati Waarabu wanapewa nchi nyie mlikuwa wapi?

Msikilize Nabii Lema hadi Mwisho.

View attachment 3043575
Huyu naye ni mjinga sana,yeye siatazikwa ontario Canada 🇨🇦, kaburi lake litachapwa na matoto ya wazungu ambayo hayana nidhamu mpuuzi huyu
 
Hamna chochote anachotaka zaidi ya ubunge ingawa anayoyasema ni kweli kwa 100%
Wananchi wote tunatakiwa kutafakari na kuchukua hatua za kulinda vizazi vijavyo. Uwe mwanachama au asiye nacho, Viongozi wa serikali au raia, mkulima, mfanyakazi, mfanyabiashara, wagombea... Wote yatuhusu.
 
Kulalamika bila kuchukua hatua hakusaidii chochote.
Ndani ya familia watoto wanalalamika, mama analalamika na baba analalamika, Je, nani wa kuikomboa hiyo familia??
 
Nakubaliana na Lema kwamba ipo siku yaja watoto wetu watayatandika fimbo makaburi yetu kwa sababu ya ujinga tulionao na ushabiki wa kijinga wakati tunawatengenezea watoto wetu hali mbaya sana.

Leo hii watoto huenda wakaja kukuta nusu ya nchi inamilikiwa na Waarabu na watauliza makaburi yetu kwamba wakati Waarabu wanapewa nchi nyie mlikuwa wapi?

Msikilize Nabii Lema hadi Mwisho.

View attachment 3043575
Sisi raia wa Tanzania tofauti yetu na nyani ni moja tu kwamba sisi tunalala majumbani nyani wanalala kwenye miti
 
Back
Top Bottom