FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Unangoja nini, au haujuwi yalipo?Ujumbe umfika lakini, ipo siku Makaburi yatatandikwa fimbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unangoja nini, au haujuwi yalipo?Ujumbe umfika lakini, ipo siku Makaburi yatatandikwa fimbo
Lema ana akili za kitoto.Nakubaliana na Lema kwamba ipo siku yaja watoto wetu watayatandika fimbo makaburi yetu kwa sababu ya ujinga tulionao na ushabiki wa kijinga wakati tunawatengenezea watoto wetu hali mbaya sana.
Leo hii watoto huenda wakaja kukuta nusu ya nchi inamilikiwa na Waarabu na watauliza makaburi yetu kwamba wakati Waarabu wanapewa nchi nyie mlikuwa wapi?
Msikilize Nabii Lema hadi Mwisho.
View attachment 3043575