Pre GE2025 Lema, ipo siku makaburi yetu yatachapwa fimbo na watoto wetu na wajuu zetu kwa sababu ya ujinga wetu

Pre GE2025 Lema, ipo siku makaburi yetu yatachapwa fimbo na watoto wetu na wajuu zetu kwa sababu ya ujinga wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nakubaliana na Lema kwamba ipo siku yaja watoto wetu watayatandika fimbo makaburi yetu kwa sababu ya ujinga tulionao na ushabiki wa kijinga wakati tunawatengenezea watoto wetu hali mbaya sana.

Leo hii watoto huenda wakaja kukuta nusu ya nchi inamilikiwa na Waarabu na watauliza makaburi yetu kwamba wakati Waarabu wanapewa nchi nyie mlikuwa wapi?

Msikilize Nabii Lema hadi Mwisho.

View attachment 3043575
Lema ana akili za kitoto.
Kaburi lipi huko kwao, na kwingineko kwa mfano, limechapwa bakora!
 
Back
Top Bottom