Nakubaliana na Lema kwamba ipo siku yaja watoto wetu watayatandika fimbo makaburi yetu kwa sababu ya ujinga tulionao na ushabiki wa kijinga wakati tunawatengenezea watoto wetu hali mbaya sana.
Leo hii watoto huenda wakaja kukuta nusu ya nchi inamilikiwa na Waarabu na watauliza makaburi yetu kwamba wakati Waarabu wanapewa nchi nyie mlikuwa wapi?
Msikilize Nabii Lema hadi Mwisho.
View attachment 3043575