Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?
Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakuna siku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.
Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari
Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge wao