Lema, kila siku unasema Land Cruiser V8 unaweza kujenga madarasa mengi leo unataka raia wachange wamnunulie Mbowe Gari Toyota Land Cruiser V8

Wanaukumbi.

Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?

Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakuna siku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.

Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari

Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge wao

Mpuuzi sana huyu.
FAM hana shida ya magari alafu si bado yupo chamani (Mjumbe wa kudumu wa kamati kuu)
 
Wanaukumbi.

Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?

Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakuna siku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.

Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari

Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge wao
Una hoja. Ungeweza kuwa na busara lakini busara yako inaishia pale unaanza kutukana.
 
Back
Top Bottom