Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
DP world ilianza kama ubuyu means tetesi na walioongoza huo ubuyu walikuwa wana habari. Walikaa kiti cha uzalendo wakidai wanawatetea wanyonge kumbe wanalo jambo nyuma ya pazia.
Mhe. LEMA yupo too emotional kuliko wakati mwingine wote. Ni kipindi ambacho amezungumza hoja nyingi kuliko alivyotakiwa kuzungumza. Ni kipindi ambacho amepoteza mwelekeo wa kisiasa kwa sababu hakuna anayejua ukweli wa yale aliyotamka.
Mara nyingi mwanasiasa anapopoteza marafiki ubaki mpweke na mwisho ufanya maamuzi ambayo baadaye ujutia.
Dr. Slaa alipokuwa mpweke alifanya maamuzi ambayo hadi leo yamemnyima haki na amani kukataa na kukemea rushwa. Msigwa hivi karibuni amepoteza credibility na muda mwingi hana kazi yupo busy kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari akitafuta forum yakuzumzia kile kinachoisibu nafsi.
Wakina nape na Makamba yamkini walitamani leo wawe frontline kuhojiwa lakini vyombo vyote vya habari vimewatenga na kuwafanya wabaki na wale marafiki wa kweli pekee.
Mhe. LEMA uzi huu nauleta kwako kama nabii, usifuate njia zao ishi maisha yako. Bora usiwe mwanasiasa kuliko kufuata njia za wale wanaokuahidi amani. Mhe. LEMA , mlo wako wa siku si chini ya sahani moja...hata kama ingekuwa na fedha nyingi kiasi gani bado usingekula milioni kwa siku. Ishi maisha ya haki ndani ya moyo wako achana na kuitafuta haki miongoni mwa marafiki.
Usijaribu kumtukuza shetani kisa Mungu ameshindwa kukujibu kwa wakati, vumilia atajibu kwa wakati.