tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
umewahi kusikia msemo unasema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya?Kwenye hivyo vikao vya kimkakati ndio Abdul na jopo lake wanaenda na mabegi ya pesa kama hongo.
Huyu jamaa ni mjinga sana.
CCM mnapenda sana mambo ya gizani ambayo ni konyume cha katiba na sheria ila yana manufaa kwenu.umewahi kusikia msemo unasema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya?
Kwa ufahamu mambo yote yenye mafanikio hadharani yameanzia gizani. Lazima mipango iwekwe kabla ya hatua kuchukuliwa copy hiyo itakusaidia
Na mimi Nashangaa.Aliye Jela amekataa madalali amesema iachwe mahakama wewe unapata wapi huo ujasiri wa kukaa vikao vya udalali na mhusika mkuu alikataa dhahiri shahiri?
Kisha kabisa, huwezi kushindana na ccm miaka 20 ukabaki na msimamo, LISSU NA MAALIM SEIF pekee waliowezaWakuu,
Mwanasiasa Godbless Lema ameeleza hofu ya viongozi kufanya mikakati ya mashauriano ya chinichini (strategic engagement) kwa kuogopa kuitwa wasaliti au kuonekana wamepewa pesa na serikali, hali inayoweza kusababisha wanachama kuendelea kuozea magerezani kwa mambo ambayo yangeishia ofisini.
"Imefika mahali hata kutaka kufanya strategic engagement ya namna ya kusaidia watu unaogopa, kwa sababu ukiifanya unaambiwa umepewa hela! Kwa hiyo maanake kuna watu wataozea jela mambo ambayo pengine yangeisha kwa kikao ofisini cha Lema na OCCID. Vikao vya kimkakati ama kupiga simu kwa maaskofu ama kupiga simu mbalimbali tumekuwa tukifanya, sio usaliti. Ni mikakati ya kisiasa ambayo haiko hadharani, na watu wengi wamesaidiwa kwa njia hiyo."
Watu wenye akili ndogo watabisha sana hii hekima ya lema lakini huu ndo uongozi. Sema watanzania wengi shule ni zero wanabaki kuendeshwa na akina mqnge kimambi tu. Uongozi ni hekima kubwa sana l. Lisu ana akili lakini hekima zeroWakuu,
Mwanasiasa Godbless Lema ameeleza hofu ya viongozi kufanya mikakati ya mashauriano ya chinichini (strategic engagement) kwa kuogopa kuitwa wasaliti au kuonekana wamepewa pesa na serikali, hali inayoweza kusababisha wanachama kuendelea kuozea magerezani kwa mambo ambayo yangeishia ofisini.
"Imefika mahali hata kutaka kufanya strategic engagement ya namna ya kusaidia watu unaogopa, kwa sababu ukiifanya unaambiwa umepewa hela! Kwa hiyo maanake kuna watu wataozea jela mambo ambayo pengine yangeisha kwa kikao ofisini cha Lema na OCCID. Vikao vya kimkakati ama kupiga simu kwa maaskofu ama kupiga simu mbalimbali tumekuwa tukifanya, sio usaliti. Ni mikakati ya kisiasa ambayo haiko hadharani, na watu wengi wamesaidiwa kwa njia hiyo."
DalaliSnitch … unapigia simu watu waachiwe kama nani?
Kwanini iwe kwa upande Mmoja?. Yani wengine wanaruhusiwa kufanya uharamia ila CHADEMA ndio wanalazimishwa wawapigie magoti. Kuna nini?Lema is very right
Kazi ya kiongozi ni kutatua changamoto na kutafuta majawabu sio kuleta changamoto au ugumu.
Na sio kila mbinu iwekwe hadharani la Sivyo nchi hii isingepata uhuru
Analazimisha CHADEMA irudi kwenye udalaliKwenye hivyo vikao vya kimkakati ndio Abdul na jopo lake wanaenda na mabegi ya pesa kama hongo.
Huyu jamaa ni mjinga sana.
Acha upotoshajiumewahi kusikia msemo unasema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya?
Kwa ufahamu mambo yote yenye mafanikio hadharani yameanzia gizani. Lazima mipango iwekwe kabla ya hatua kuchukuliwa copy hiyo itakusaidia
Dalali kabisa huyu LemaSnitch … unapigia simu watu waachiwe kama nani?
Yaani maana yake kakubali kuwa yeye alikua anaenda gerezani usiku, ili lissu alegeze kamba, kumbe ni kweli kafika bei meku.Kama walizoea hivyo chini ya Mbowe basi wajue kwa sasa watu hawataki hayo, maana ndio yametufikisha hapa. Hatupati mabadiliko kumbe sababu watu wanakuwa na vikao vya pembeni kujadili kwa faida zao binafsi.