Lema: Kufanya vikao vya kimkakati sio usaliti. Watu wamesaidiwa kwa njia hiyo

Lema: Kufanya vikao vya kimkakati sio usaliti. Watu wamesaidiwa kwa njia hiyo

Aliye Jela amekataa madalali amesema iachwe mahakama wewe unapata wapi huo ujasiri wa kukaa vikao vya udalali na mhusika mkuu alikataa dhahiri shahiri?
Meku kashachukua mpunga, na kurudisha hawezi, kwanza watoaji wamegoma kupokea walichotoa.

😂😂😂
 
Yaani maana yake kakubali kuwa yeye alikua anaenda gerezani usiku, ili lissu alegeze kamba, kumbe ni kweli kafika bei meku.
Alooo
Yaani katika watu niliowahisi sana kama wanaenda jela kumlegeza Lisu, mmoja nilihisi ni Lema. Kwa press yake, hata kama sio yeye ameenda, lakini atakuwa alishiriki kwa namna moja au nyingine kwenye hilo. Na alifanha hivyo kwa ahadi ya vipande 30 vya fedha toka kwa muuaji. Udalali huu umefanyika sana wakati wa Mbowe, kisha Mbowe akawa anajifanya amefanya hivyo kwa sababu ya ukomavu wa kisiasa, kumbe maslahi binafsi.
 
Lema Leo ndio katuambia Chadema ya Mbowe ilivyokua inaendesha chama chake. Mtu kutoka Gerezani ukonga na kuibukia ikulu, kumbe kuna vikao vya gizani? Lol
 
Lema is very right
Kazi ya kiongozi ni kutatua changamoto na kutafuta majawabu sio kuleta changamoto au ugumu.

Na sio kila mbinu iwekwe hadharani la Sivyo nchi hii isingepata uhuru
Mpeleke kwa mkeo atakusaidia ..
 
Wakuu,

Mwanasiasa Godbless Lema ameeleza hofu ya viongozi kufanya mikakati ya mashauriano ya chinichini (strategic engagement) kwa kuogopa kuitwa wasaliti au kuonekana wamepewa pesa na serikali, hali inayoweza kusababisha wanachama kuendelea kuozea magerezani kwa mambo ambayo yangeishia ofisini.

"Imefika mahali hata kutaka kufanya strategic engagement ya namna ya kusaidia watu unaogopa, kwa sababu ukiifanya unaambiwa umepewa hela! Kwa hiyo maanake kuna watu wataozea jela mambo ambayo pengine yangeisha kwa kikao ofisini cha Lema na OCCID. Vikao vya kimkakati ama kupiga simu kwa maaskofu ama kupiga simu mbalimbali tumekuwa tukifanya, sio usaliti. Ni mikakati ya kisiasa ambayo haiko hadharani, na watu wengi wamesaidiwa kwa njia hiyo."

Neno strategic engagement limetumika vibaya , tafsiri yake ni total misleading

For the first Time nimetamani kujua education background ya huyu msela

Unafanya meeting huku mwenyekiti hana taarifa na yupo Gerezani na Chama hakina info za meeting then unazita strategic what a shame
 
Hapo sasa, inashangaza mno. Huyu ni dalali km Mbowe tu.
 
Back
Top Bottom