TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Ana miradi mingi ya kugharamia haya au chama 'chake' ndiyo kina gharamia!?Hii ni press conference muhimu sana sio ya kukosa, haswa kwa kuzingatia, mzungumzaji anaishi Sea Cleef Hotel, 5 Star, press conference Golden Tulip 5 star, ingeendeshewa Chadema ingekuwa no cost involved, hivyo waandishi wa habari pia tutaangaliwa ki Golden Tulip!. Sikosi!
P
mihela ya kulipa hapa katoa wapi?Hotel ya Golden Tulip.
ok.🐒Kesho saa sita mchana nitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Golden Tulip.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.
Karibuni sana. Godbless Lema.
Kwa hali hii kiongozi wa Chadema akitaka hata kuchana nywele mtahoji kwanini anachana nywele wakati mwenyekiti anafuga nywele zake. Ni lazima tukubali maisha ya jela yanaendelea kama kawaida ndio maana pamoja na chair kuwa ndani bado wabongo hao hao wanajaa kwenye mechi za Simba na Yanga.Another big mistake na inaonyesha kuna ''kitu''. Mwenyekiti yuko mahakamani na yeye anaamua kwenda kufanya mengine. Kwa nini asingefanya jioni baada ya kesi kuisha?
Umeamua umchomee kabisa. Kuna mambo wanaya divert. Sio bure.Hii ni press conference muhimu sana sio ya kukosa, haswa kwa kuzingatia, mzungumzaji anaishi Sea Cleef Hotel, 5 Star, press conference Golden Tulip 5 star, ingeendeshewa Chadema ingekuwa no cost involved, hivyo waandishi wa habari pia tutaangaliwa ki Golden Tulip!. Sikosi!
P
Afu its a walking distance toka anapolala na atakapo ongelea.Hii ni press conference muhimu sana sio ya kukosa, haswa kwa kuzingatia, mzungumzaji anaishi Sea Cleef Hotel, 5 Star, press conference Golden Tulip 5 star, ingeendeshewa Chadema ingekuwa no cost involved, hivyo waandishi wa habari pia tutaangaliwa ki Golden Tulip!. Sikosi!
P
Mihela ya John Wegesa Heche ya kununua Prado ya milioni 160, tractor Mitsubishi ya milioni 80, Cantre ya milioni 60 na Toyota Crown ya milioni 10 alitoa wapi? Au Salman Nilesh ? Ahahahahaha!!mihela ya kulipa hapa katoa wapi?
Na Msigwa karudi na kapokewa kwa shangweSlaa, Msigwa na waliohamia Chauma walikuwa na press za hivi hivi, leo yako wapi? Hata zile press za majuzi za wanaojiita wanacdm zilikuwa zinaongea anachokipogania Lema. Huyo atoke haraka watu wengi tulishamstukia.
Maswali mengine ni ya kijinga, juzi kasafirisha mke na watoto kwenda Canada, mnajuwa gharama ya air ticket?mihela ya kulipa hapa katoa wapi?
Sidhani kama lema ni mkubwa kulicho Dr.slaa na zitto kwa zama zake, lakini stilĺ CHADEMA Ipo strong sanaLema kama unaona utaweka moto kwenye petrol chama kikose muelekeo..bora usiitishe press, people will never forgive you. Step down with dignity intact..
muulize mama yako kama mimi mjingaMaswali mengine ni ya kijinga,
Ni bahati iliyoje kwa CHADEMA kwa watu wa aina yake kujibainisha mwenyewe anaposimamia bila ya kushurutishwa na yeyote..Another big mistake na inaonyesha kuna ''kitu''. Mwenyekiti yuko mahakamani na yeye anaamua kwenda kufanya mengine. Kwa nini asingefanya jioni baada ya kesi kuisha?
mbona kajifukuzisha tayaliLema ni mtu wa kawaida sana chadema huyo wakufukuza mapema
Kama lema unapita kwenye uzi huu, zingatia sana huu ushauri.Lema kama unaona utaweka moto kwenye petrol chama kikose muelekeo..bora usiitishe press, people will never forgive you. Step down with dignity intact..