Lema kuongea na vyombo vya habari kesho

Ngoja tuone Kobe alivyopanda mtini
 
Akileta za kuleta, leo ndio utakuwa mwisho wake rasmi wa kisiasa...kamwe sikio halizi kichwa!.
Lema huna hata robo ya cv ya mbowe kwa chadema, ila tazama leo wananchi wanavyombagaza mbowe kwa matendo yake...na hapo bado hajatoa neno rasmi la kuwasema viongozi wenzake wa chadema!
Huna madhara yoyote kwa chadema, wewe ni mdogo mnoo...chadema ndio ina uwezo wa kukupandisha juu au kukushusha chini!!.
Kama huamini, tangaza leo umehamia chauma halafu uone reaction za wananchi zitakuwaje!!.
 
Aachwe aongee, ndio njia nzuri ya kuweza kumpima kama yuko na wenzake kwenye chama, au ni msaliti.

Kitaaluma tunaita kumwachia kamba ndefu ajinyonge mwenyewe.
Kweli kabisa
 
Mama yangu ameingiaje hapa? Una uhakika kama nina Mama?

Hawa ndio makamanda wa sasa wa Chadema hoja inajibiwa kwa matusi.
Idiot.
Idiot mama yako

Next time unapounda sentence zako ziunde kwa umakini. Ukishatamka neno ujinga, utajibiwa accordingly! Angalia genesis ya kukwambia muulize mama yako kama mimi mjinga!
Tusi linajiniwankwa tusi unless umeamua ku ignore ili usitoe neno baya!

Najua haipendezi, lkn ukitoa neno baya nitarudisha neno baya.

Ukitoa neno zuri, nitarudisha neno zuri
 
Dogo anatapanya pesa, anaishi luxurious life ila UVCCM hilo kwao siyo issue bali ni kwamba Heche ndiyo hapaswi kuwa na pesa wala kuishi vizuri. Haya mahaba ya chawa wa Samia na UVCCM kwa Lema yameanza lini na chanzo chake ni kipi?
Once a snake always a snake.
 
Lema kama unaona utaweka moto kwenye petrol chama kikose muelekeo..bora usiitishe press, people will never forgive you. Step down with dignity intact..
Sidhani kama Mh. Lema anaweza ku-commit suicide kirahisi hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…