Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Zipo taarifa kwamba walafi wanapanga njama za kumrejesha Sabaya uraiani kabla ya tarehe 01/03/2023. Mbinu zinazotumika nipanoja na kusambaza habari kwamba yupo hoi, lakini wazazi wake pamoja na ndugu wameenda kumpigia magoti mdosi aelekeze aachiwe.
Swali, je watu hawa wanafanikiwa? Endapo wanafanikiwa, haitaleta picha kwamba mahakama imejichimbia magogoni?
Tununu
Swali, je watu hawa wanafanikiwa? Endapo wanafanikiwa, haitaleta picha kwamba mahakama imejichimbia magogoni?
Tununu