mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Godbless Lema akizungumza na wanahabari leo Januari 19, 2025 amesema kuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa, Tundu Lissu anaungwa mkono na asilimia kubwa ya wenyeviti mkoa
"Mheshimiwa Lissu anaungwa Mkono na Wenyeviti wa Mikoa 25 kati ya 33(iliyopo Tanzania), Wenyeviti 21 wamejitokeza(kutangaza kumuunga Lissu) wanne kazi maalum.
Na hili isingekuwa rahisi kulisema mwanzo mwanzo kwa sababu kazi ingeharibika katika watu 10 wapiga kura wanaomuunga mkono Mwenyekiti Mbowe, watu 07 wanaripoti kwetu usiku.
Na mimi kipekee kabisa kwa mara nyingine kwa heshima ya kaka yangu na Mwenyekiti wetu wa chama asikubali kwenda kwenye huu uchaguzi atashusha heshima yake kabisa asikubali na hapewi tathmini ya kweli.