tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Wakuu,
Mwanasiasa Godbless Lema ameeleza kuwa Tundu Lissu alimtaka yeye agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti (Bara) badala ya John Heche, lakini alikataa nafasi hiyo ili kulinda mshikamano wa chama.
"Wakati wa kuulizwa anayetaka kugombea, chaguo la Lissu ilikuwa ni mimi Lissu akaniambia: 'Lema gombonia Makamu Mwenyekiti nataka Makamu Mwenyekiti kutoka kaskazini, nakutaka wewe.' Nikakataa... Nikamwambia Heche: 'Usifanye kampeni... mimi nakuja Tanzania... lala ndani, njoo ukumbini na machela siku ya mwisho, hii kampeni utashinda.'"