Kuimaliza au kuidhoofisha kabisa CHADEMA; hili liko wazi.Lengo la lema nini??
Kuimaliza au kuidhoofisha kabisa CHADEMA; hili liko wazi.Lengo la lema nini??
Hili naomba niliazime toka kwako,. Sikulijuwa hili.Ndio maana kwenye Kampeni za Chama chao Lema alotafita ma tycoon wasaidie Kampeni Lissu akakataa akajibu TUTAWALIPA NINI? Hii aliisema Lema Mwenyewe hivyo Lissu anawajua vizuri Lema na HECHE